Jezi ya Simba vs Yanga

Jezi ya Simba vs Yanga

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,184
Reaction score
5,426
Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?

SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe.

Ila wajumbe siyo watu wazuri katika kila nyanja,yaani mnaenda hapo mkuranga kwa Fundi Nasoro mnakata kijora mnaita jezi.

Ooooh DIADORA anatangazwa bure ,wewe na mimi nani kauona mkataba wa jezi? Aklili ndogo na ujuaji.!

Badala ya kuhoji mkataba wa GSM+HERSI na Yanga wa kutengeneza jezi ni shilingi ngapi mnahangaika na Jezi ya Simba.

Nb: ina maana miaka yote wenye akili ni wale wale wawili hawaongezeki??
 
Yote tisa tarehe 16 sio mbali endeleeni kujenga timu tukianza kugawa vipigo mfurulizo hatutaki lawama . "Tunapiga kichwani tu"
 
Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?

SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe.

Ila wajumbe siyo watu wazuri katika kila nyanja,yaani mnaenda hapo mkuranga kwa Fundi Nasoro mnakata kijora mnaita jezi.

Ooooh DIADORA anatangazwa bure ,wewe na mimi nani kauona mkataba wa jezi? Aklili ndogo na ujuaji.!

Badala ya kuhoji mkataba wa GSM+HERSI na Yanga wa kutengeneza jezi ni shilingi ngapi mnahangaika na Jezi ya Simba.

Nb: ina maana miaka yote wenye akili ni wale wale wawili hawaongezeki??
We ulishahoji mkataba wa Mo cola na Mo energy zilizobandikwa mpaka matakoni anawapa shingapi?
 
Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?

SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe.

Ila wajumbe siyo watu wazuri katika kila nyanja,yaani mnaenda hapo mkuranga kwa Fundi Nasoro mnakata kijora mnaita jezi.

Ooooh DIADORA anatangazwa bure ,wewe na mimi nani kauona mkataba wa jezi? Aklili ndogo na ujuaji.!

Badala ya kuhoji mkataba wa GSM+HERSI na Yanga wa kutengeneza jezi ni shilingi ngapi mnahangaika na Jezi ya Simba.

Nb: ina maana miaka yote wenye akili ni wale wale wawili hawaongezeki??
Mtafungwa mara ya sita mfululizo mkiwa mmevaa jezi zenu huku mnapendeza..!!
 
Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?

SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe.

Ila wajumbe siyo watu wazuri katika kila nyanja,yaani mnaenda hapo mkuranga kwa Fundi Nasoro mnakata kijora mnaita jezi.

Ooooh DIADORA anatangazwa bure ,wewe na mimi nani kauona mkataba wa jezi? Aklili ndogo na ujuaji.!

Badala ya kuhoji mkataba wa GSM+HERSI na Yanga wa kutengeneza jezi ni shilingi ngapi mnahangaika na Jezi ya Simba.

Nb: ina maana miaka yote wenye akili ni wale wale wawili hawaongezeki??
Rage anastahili kupewa tunzo ya heshima. Mbumbumbu style
 
Yanga kuna matatizo makubwa kuliko simba sema wanajificha kwenye kivuli cha derby na kununua ubingwa wa NBC wanafanya mambo yao kitoto sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom