pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,869
- 2,764
Wachezaji vijana na sio mababuKama hiyo Atlas ndo kiwakilishi cha African, Sasa kiwakilishi cha Young kiko wapi?
Wangeweka hata ramani ya Tanzania waitangaze nchi
Wachezaji vijana na sio mababuKama hiyo Atlas ndo kiwakilishi cha African, Sasa kiwakilishi cha Young kiko wapi?
Wangeweka hata ramani ya Tanzania waitangaze nchi
Moyoni unakiri jezi ya yanga ni kali ila unajishaua kutafuta visababu.mipasho fc mikia fc bana.jezi lile jekundu kama tambara la kuingia kwa mlagula ndo jeziMmeambiwa watu wanataka kusoma jiografia uwanjani?Mbona mlipiga kelele sana na kuzinanga jezi za watani wenu?Mnazidiwa na wajela jela?
Mmeambiwa watu wanataka kusoma jiografia uwanjani?Mbona mlipiga kelele sana na kuzinanga jezi za watani wenu?Mnazidiwa na wajela jela?