Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 1,612
- 2,603
Kwa wapenda amani wote wa ulimwengu huu!
Umewahi kujiuliza why Israel infanya jinai with impunity? Yaani hawaogopi lawama wala hawana aibu yeyote ya kibinadamu katika kufanya jinai zao? Unatumia madege ya kivita kupambana na mtu uliyemzingira nchi kavu, baharini na angani akiwa amebeba manati tuu?
Lakini katika historia Kuanzia Watawala wa Misri ya Zamani ( Waafrika) , Romans, Persians, hata wazungu ( Hilter na Holocast) hawakuwahi kuwapenda hawa jamaa?
Why always them? kwa nini uchukiwe na kila mtu?
Nadhani kuna kibri kipo ndani ya Mayahudi cha asili.
Utabiri wangu Israel hii ya leo itakuwa na mwisho mbaya kwa mara nyingine!
Siku Marekani atakapopoteza uwezo wake wa kuwa Super Power au outbreak of all-out World War III.
Israel will never be able to defend itself!
Time will be my witness!