Jews never learnt a lesson

Truth Matters

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
1,317
2,000
Kwa wapenda amani wote wa ulimwengu huu!

Umewahi kujiuliza why Israel infanya jinai with impunity? Yaani hawaogopi lawama wala hawana aibu yeyote ya kibinadamu katika kufanya jinai zao? Unatumia madege ya kivita kupambana na mtu uliyemzingira nchi kavu, baharini na angani akiwa amebeba manati tuu?

Lakini katika historia Kuanzia Watawala wa Misri ya Zamani ( Waafrika) , Romans, Persians, hata wazungu ( Hilter na Holocast) hawakuwahi kuwapenda hawa jamaa?

Why always them? kwa nini uchukiwe na kila mtu?

Nadhani kuna kibri kipo ndani ya Mayahudi cha asili.

Utabiri wangu Israel hii ya leo itakuwa na mwisho mbaya kwa mara nyingine!

Siku Marekani atakapopoteza uwezo wake wa kuwa Super Power au outbreak of all-out World War III.

Israel will never be able to defend itself!

Time will be my witness!
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,907
2,000
Warning
emoji779.png
There is no third world war, if that happens then it's end of the world!
Usijipe moyo.
Na kama USA asiposhuka kwenye super power maana yake Palestine ataendela kunyanyaswa? Israel hisa sio wagomvi ila wakikorofishwa basi ni hatari
 
Hammaz

JF-Expert Member
May 16, 2018
3,652
2,000
Israel inajilinda. Hii vita ni yamakarne. Samsoni alikuwaga anaingia Gaza nakutembeza mkong'oto na kuwatahiri. Iko kwenye Bible
Pengine hujui!

Palestina ni jamii mseto! Ni Waislamu na Wakristo. Ukisikia Palestina imeshushiwa mvua ya makombora tambua jamii zote 2 zinateketezwa.

Mkuu Malcom Lumumba alitufungua kimuono kuhusu mzozo huu. Kuna nukta zinabidi zitizamwe kwenye mgogoro baina ya Israel na Palestina ambazo aliziainisha.
  • A humanist point of view
  • A legal point of view
  • A historical point of view
Kwa muono wangu hizi zote Israel imekosa. Palestina imeomba sehemu ndogo tu Gaza ili wajitegemee Israel imekataa! Sehemu yote ya Gaza wameizingira baharini, nchi kavu na angani pia.

Palestina si nchi! Palestina ni gereza lenye taswira ya nchi.
 
inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
242
250
Kwa wapenda amani wote wa ulimwengu huu!

Umewahi kujiuliza why Israel infanya jinai with impunity? Yaani hawaogopi lawama wala hawana aibu yeyote ya kibinadamu katika kufanya jinai zao? Unatumia madege ya kivita kupambana na mtu uliyemzingira nchi kavu, baharini na angani akiwa amebeba manati tuu?

Lakini katika historia Kuanzia Watawala wa Misri ya Zamani ( Waafrika) , Romans, Persians, hata wazungu ( Hilter na Holocast) hawakuwahi kuwapenda hawa jamaa?

Why always them? kwa nini uchukiwe na kila mtu?

Nadhani kuna kibri kipo ndani ya Mayahudi cha asili.

Utabiri wangu Israel hii ya leo itakuwa na mwisho mbaya kwa mara nyingine!

Siku Marekani atakapopoteza uwezo wake wa kuwa Super Power au outbreak of all-out World War III.

Israel will never be able to defend itself!

Time will be my witness!
You will die withhout witnessing that.
 
Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
1,864
2,000
Pengine hujui!

Palestina ni jamii mseto! Ni Waislamu na Wakristo. Ukisikia Palestina imeshushiwa mvua ya makombora tambua jamii zote 2 zinateketezwa.

Mkuu Malcom Lumumba alitufungua kimuono kuhusu mzozo huu. Kuna nukta zinabidi zitizamwe kwenye mgogoro baina ya Israel na Palestina ambazo aliziainisha.
  • A humanist point of view
  • A legal point of view
  • A historical point of view
Kwa muono wangu hizi zote Israel imekosa. Palestina imeomba sehemu ndogo tu Gaza ili wajitegemee Israel imekataa! Sehemu yote ya Gaza wameizingira baharini, nchi kavu na angani pia.

Palestina si nchi! Palestina ni gereza lenye taswira ya nchi.
Hamna bana mnajitetea kwa kujikaza huku mna maumivu makali sana.
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,772
2,000
Kiboko yao alikuwa Hitler,valiwawasha kama kuni. Unajitumbukiza mwenewe kwenye tanuri. Iskael inadhaminiwa siraha na USA, ipo siku itabidi ijitegemee ndio hapo patakua pachungu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom