Jeuri ya Fedha ya Floyd Mayweather

Mzungu ni nani had asifanye hivyo? Acha kukariri maisha kijana bila kufikiria...kuna watu wanaongoza kufanya mambo ya kipuuzi kwa karne hii kama wazungu?
 
Mzungu ni nani had asifanye hivyo? Acha kukariri maisha kijana bila kufikiria...kuna watu wanaongoza kufanya mambo ya kipuuzi kwa karne hii kama wazungu?
kama umenielewa tangu mwanzo, simshabikii mzungu tu na kumdharau african american, unachotakiwa kujua ni kwamba african americans ni viumbe pekee mazuzu marekani. ndio maana ubaguzi marekani hautaisha. hata ukienda kule leo nakuhakikishia utaona bora upate company ya rangi nyingine au mtu mwingine kutoka africa kuliko hao wamarekani weusi. hawanaga akili ati. i am speaking form experience. mtz pamoja na kutokuwa na exposure anaweza kuwa yuko safi upstairs kuliko african american. sijui wengi hamuelewi kwasababu mnajifananisha kwa miziki yao na kuvaa milegezo ndio maana. siwashangai.
 
daamn..........Zero endorsement!!!...
 
acha ulembuken mjinga ww unalo ata gal moja
 
hakuna bepari anamsaidia maskini.kama ingekuwa hivyo umaskini ungeisha duniani.wapo wazungu wana hadi club zao peke yao hao unawasemaje.wazungu wanaspend bwana sijui wazungu gani unaowaongelea.wazungu wanakwenda sayari ya mars wakitumia billions kama hawana akili nzuri.jitambue na uheshimu uafrika wako siyo kumuona kila mweupe ni mwekezaji au ana akili kukuzidi
 

ww jamaa una stress za umaskini na madeni ndio maana zinakutia hasira hela za jamaa....... Mtu kajitoa kwa nguvu zake zote kajitoa maisha yake kuwa liwalo na liwe kufia ukumbin au kupona... Hakuna hata mmoja anayemsaidia kuugulia maumivu. Leo hii jitu from nowhere linakuja kumlaumu eti atoe misaada kwa lipi?? Kila mtu atakula kwa jasho usipotoa jasho usifikirie kuwa utakula.......... Ww lalama hvyohvyo utatoa povu mpaka ukome. Acha jamaa ajilie vyake kufa kwaja.
 
wewe mshamba wa kyela, i am telling you, mimi ni tajiri kuliko wewe hapo ulipo na kwa utajiri wangu mdogo sina akili ya kipumbavu kama huyo mbwiga mwenzio. usifikiri kila anayetumia jf ni poyoyo mwenzio.
 
acha ulembuken mjinga ww unalo ata gal moja
wewe ndio kidiko mfyululu kweli wewe. kwaakili yako kuwa na gari ni utajiri? hadi unaniuliza mimi kama nina gari hata moja? wenzio kwenye ulimwengu kama huo tulishapita kitambo sana, gari sio utajiri ni kitendea kazi tu. ndio maana unaona huyo mbwibwa mwenzio na migari yote hiyo unasema utajiri, kwa akili ya kawaida gari unanunua ili kiwe kitendea kazi chako. na wewe kama umechukua baby walker yako passo majuzi kwa mkopo usifikiri kila mtu anaanza kumiliki gari leo. bora ungenyamaza kuliko kujianika mzee.
 
SIPENDI mijitu inayoabudu WAZUNGU. Nao ni watu kama sisi.

Scott Storch alikuwa mpiga kinanda wa Dr Dre na baadaye akawa producer wa miziki kama Candy Shop - 50 Cents, Let me blow your Mind - Eve, Fat Joe and Terror Squad - Learn Back.




Sasa hivi wakati Dr Dre kawa Bilionea, yeye yuko hoi kwa kujifanya kawa JOKA bugia unga.....Mali zimekimbia.

Adui yake Timberland, bado yuko vizuri tu.



Wazungu wanaita hiyo "what's what happens when you give money to monkeys", angekuwa mzungu hapo angeendeleza vitega uchumi na angekuwa na magari ya kawaida tu, tatizo ngozi nyeusi inapenda kujionyesha.
 
Mwache aoneshe masifa yake kichapo kinamsubiri shenzi huyu.
 
yaani wewe bonge la ----. kaa na njaa zako.una muita money mburula?!?,jamaa ana tengeneza pesa. we unajua vitega uchumi alivyo navyo?.
una mpangia idadi ya magari.yaani wewe m.a.t.a.k.o kweli. hebu tuoneshe vitega uchumi vyako wewe mwenye akili




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…