Habari zenu wote, wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani. Maslahi ya Wafanyakazi yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli, pia imeelekea kutunyanyasa wanyonge tena kibabe zaidi na kuwa na matabaka ya wazi uku wengine tukibomolewa wengine wakipewa yumani fesi.
Yote haya mungu ametupatia nafasi ya kuonyesha hasira zetu ambapo ni tarehe 26 katika box la kura, wote tukakemee udhalimu huu kwa kuinyima kura ili ikajitathimini huenda itakuja na faraja kwetu ila kuipa kura tena itakua ni kuukumbatia unyanyasaji huu. Naomba tukaifyeke kule kwenye box la kura na wakileta uhuni katika utangazaji wa matokeo tuwafyeke tena maana tushachoka sasa.