Jeuri hii ya Serikali, wafanyakazi ifyekeni tarehe 26

NJUKWILE

Senior Member
Nov 5, 2017
134
184
Habari zenu wote, wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani. Maslahi ya Wafanyakazi yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli, pia imeelekea kutunyanyasa wanyonge tena kibabe zaidi na kuwa na matabaka ya wazi uku wengine tukibomolewa wengine wakipewa yumani fesi.

Yote haya mungu ametupatia nafasi ya kuonyesha hasira zetu ambapo ni tarehe 26 katika box la kura, wote tukakemee udhalimu huu kwa kuinyima kura ili ikajitathimini huenda itakuja na faraja kwetu ila kuipa kura tena itakua ni kuukumbatia unyanyasaji huu. Naomba tukaifyeke kule kwenye box la kura na wakileta uhuni katika utangazaji wa matokeo tuwafyeke tena maana tushachoka sasa.
 
Habari zenu wote,Wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani.Maslahi ya Wafanyakaz yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli,Pia imeelekea kutunyanyasa wanyonge tena kibabe zaidi na kuwa na matabaka ya wazi uku wengine tukibomolewa wengine wakipewa yumani fesi.YOTE HAYA MUNGU AMETUPATIA NAFAS YA KUONYESHA HASIRA ZETU AMBAPO NI TAREHE 26 KATIKA BOX LA KURA,WOTE TUKAKEMEE UDHALIMU HUU KWA KUINYIMA KURA ILI IKAJITATHIMINI WENDA ITAKUJA NA FARAJA KWETU ILA KUIPA KURA TENA ITAKUA NI KUUKUMBATIA UNYANYASAJI HUU.NAOMBA TUKAIFYEKE KULE KWENYE BOX LA KURA NA WAKILETA UHUNI KATIKA UTANGAZAJI WA MATOKEO TUWAFYEKE TENA MAANA TUSHACHOKA SASA

Tarehe 26 ya lini na kwenye nini ninong'oneze itakua maeneo gani hujafafanua mkuu
 
Habari zenu wote,Wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani.Maslahi ya Wafanyakaz yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli,Pia imeelekea kutunyanyasa wanyonge tena kibabe zaidi na kuwa na matabaka ya wazi uku wengine tukibomolewa wengine wakipewa yumani fesi.YOTE HAYA MUNGU AMETUPATIA NAFAS YA KUONYESHA HASIRA ZETU AMBAPO NI TAREHE 26 KATIKA BOX LA KURA,WOTE TUKAKEMEE UDHALIMU HUU KWA KUINYIMA KURA ILI IKAJITATHIMINI WENDA ITAKUJA NA FARAJA KWETU ILA KUIPA KURA TENA ITAKUA NI KUUKUMBATIA UNYANYASAJI HUU.NAOMBA TUKAIFYEKE KULE KWENYE BOX LA KURA NA WAKILETA UHUNI KATIKA UTANGAZAJI WA MATOKEO TUWAFYEKE TENA MAANA TUSHACHOKA SASA

duu kweli tuendako hali inazidi kuwa mbaya! watu wamegeuka wanaona maruwe ruwe tuu!
 
Habari zenu wote,Wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani.Maslahi ya Wafanyakaz yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli,Pia imeelekea kutunyanyasa wanyonge tena kibabe zaidi na kuwa na matabaka ya wazi uku wengine tukibomolewa wengine wakipewa yumani fesi.YOTE HAYA MUNGU AMETUPATIA NAFAS YA KUONYESHA HASIRA ZETU AMBAPO NI TAREHE 26 KATIKA BOX LA KURA,WOTE TUKAKEMEE UDHALIMU HUU KWA KUINYIMA KURA ILI IKAJITATHIMINI WENDA ITAKUJA NA FARAJA KWETU ILA KUIPA KURA TENA ITAKUA NI KUUKUMBATIA UNYANYASAJI HUU.NAOMBA TUKAIFYEKE KULE KWENYE BOX LA KURA NA WAKILETA UHUNI KATIKA UTANGAZAJI WA MATOKEO TUWAFYEKE TENA MAANA TUSHACHOKA SASA
Kuna siku moja nikiwa kwenye daladala nimekaa karibu na dereva,basi akawa analalamika kuwa vyuma vimekaza na watz hawafurahii maisha kabisa!Asema namnukuu'braza ukitaka kuamini,hebu angalia nyuso za watu tunaowapita au kupishana nao,wote wamenuna'sasa huyu mleta thread ana hoja ila uwasilishaji wake ndo shida sasa!Inaonekana jinsi alivyo stressed na hana furaha kabisa!
 
Back
Top Bottom