Mausingizii
Member
- Jul 14, 2022
- 90
- 74
Wasalaam wanajamvi naomba kuuliza ,nafasi za kujitolea jeshini hutoka mwezi wa ngapi?
Heading yako iko tofauti na content umeuliza kwa mujibu Kisha kujitolea, mujibu wa Sheri's huwa miezi mitatu tu, kujitolea miezi sita inategemea Kuna mwaka watu walizama mwezi wa tano mwaka Jana mwez wa nane mwaka huuu nahis wanaweza watu wakawahi ku report op Samia wanaanza kupunguaWasalaam wanajamvi naomba kuuliza ,nafasi za kujitolea jeshini hutoka mwezi wa ngapi?
Nimeliona hilo mm naulizia za kujitolea ,si kwa mujibu nimakosa kwenye uwasilishaji mkuuHeading yako iko tofauti na content umeuliza kwa mujibu Kisha kujitolea .....mujibu wa Sheri's huwa miezi mitatu tu .....kujitolea miezi sita inategemea Kuna mwaka watu walizama mwezi wa tano mwaka Jana mwez wa nane mwaka huuu nahis wanaweza watu wakawahi ku report op Samia wanaanza kupungua