Mrusi upande wa serikali US upande wa RSF patamu hapoKwani Mrusi yupo upande upi hapo
Serikali itashindaMrusi upande wa serikali US upande wa RSF patamu hapo
Hali imebadilika.Mwanzoni mrusi alisemekana kuwa upande wa RSF kwani amewarahisishia kuchimba dhahabu na Marekani upande wa serikali. Serikali ya Misri upande wa jeshi (serikali) na Umoja wa falme za kiarabu upande wa RSF kwa vile waliwahi kuwasaidia askari wa kupigana Yemen.Kwani Mrusi yupo upande upi hapo
Wapelekee 'kwiro' wakuoneshe kaziHawa wavaa kobazi wana mind set za kizamani kwamba uki ishika Ikulu tu tayar wewe ni raisi
Wa RSFKwani Mrusi yupo upande upi hapo
Hapana mrusi yupo RSF.Mrusi upande wa serikali US upande wa RSF patamu hapo
Vipi kuhusu wale wagalatia wenzako walioambiwa wafunge bila kula mpaka wakafa ili waende mbinguni fasta,wao hizo ndio mind set za kisasa?Hawa wavaa kobazi wana mind set za kizamani kwamba uki ishika Ikulu tu tayar wewe ni raisi
Mrusi upande wa serikali US upande wa RSF patamu hapo
Tuko Sudan ostadh kwa msaada wa picha tupo huku kwa wavaa kobazi tusitoke njee ya uwanja wa vita by the way kama kobazi hazi kutoshi usi shindane nazo waachie madina [emoji16][emoji16]Vipi kuhusu wale wagalatia wenzako walioambiwa wafunge bila kula mpaka wakafa ili waende mbinguni fasta,wao hizo ndio mind set za kisasa?
Acha uongo, wanamgambo wa RSF wanashirikiana na kundi la Wagner la Urusi, UAE na Libya. Jeshi la Sudan linapewa nguvu kwa mbali na Egypt, Saud Arabia na Kwa mbali Israel. Ndio maana RSF waliziaribu ndege za Saud Arabia na Egypt pia wanashambulia ndege za nchi nyingi zinazokuja kutoka raia wao. Kiufupi nchi nyingi za dunia zipo upande wa jeshi la Sudan, ila Urusi, Libya na UAE wanawasaidia wanamgambo wa Dagalo/Hemedt.Mrusi upande wa serikali US upande wa RSF patamu hapo
Wale hawakubeba bomu wala silaha ,japo walidanganywa ,walifanya kwa hiari Yao bila kumsumbua yyte na kutaka madaraka wala nini , kule Sudan wanakimbiza kutawala mpaka kuharibu nchi ,utatawalje maskini wasio na lishe ,ule ni ujinga wakupitilizaVipi kuhusu wale wagalatia wenzako walioambiwa wafunge bila kula mpaka wakafa ili waende mbinguni fasta,wao hizo ndio mind set za kisasa?
Hapo ndipo Hemedti alipokosea mahesabu.Ameshikilia ikulu,uwanja wa ndege na tv na redio na bado hajaweza kushinda.Silaha alizonazo ni hafifu mno.Hajaweza kuipiga hata ndege moja zinazomdondoshea mabomu asubuhi na jioni.Zaidi mipaka karibu yote ya nchi haiko mikononi mwake ndio port Sudan meli zinaendelea na kazi ya kubeba wakimbizi na kuleta mizigo.Hawa wavaa kobazi wana mind set za kizamani kwamba uki ishika Ikulu tu tayar wewe ni raisi
RSF anaungwa na Libya, Russia na tajiri UAE.Kwani Mrusi yupo upande upi hapo
Uongo huo, Wagner wako RSF ndio wanufaika wakubwa wa dhahabu ya Sudani.Mrusi upande wa serikali US upande wa RSF patamu hapo
Pale Sudan Urusi yupo pande zote. RSF wapo na Wagner kwa sababu ya madini na Russia serikali iko na serikali na ilitaka kujenga naval base.Mrusi upande wa serikali US upande wa RSF patamu hapo