Jeshi si lelemama

Jeshi si lelemama

Jeshi sio lelemama...

Yap hilo hilo la Si lelemama una ujuzi nalo?
Maana unaposema hayo mazoezi yamepitwa na wakati sijui wale wamarekani waliofanya mission ya kumuua Osama walikaa Ofisini na kudeal na computer tu bila kuwa fit kimazoezi?
 
Muda wa kujaza pumzi kama vipi kapige road work achana na watu we dharau!!!
 
Yap hilo hilo la Si lelemama una ujuzi nalo?
Maana unaposema hayo mazoezi yamepitwa na wakati sijui wale wamarekani waliofanya mission ya kumuua Osama walikaa Ofisini na kudeal na computer tu bila kuwa fit kimazoezi?

Muda wa kujaza pumzi kama vipi kapige road work achana na watu wenye dharau!!!
 
Kwa hiyo hamna haja ya Mazoezi kama hayo si ndiyo?

Wanapoteza muda tu!utapigana na watu wangapi??bomu moja watu kumi chaali,umfuate nani na karate zako??bastola tu!nadhani kuna haja ya kurekebisha mtaala wa hawa jamaa
 
Nyie mnaowapondea si mkapigane nao! wewe kama unajua karate zako nenda pale kikosi cha komandoo sema mm nimetoka manzese au keko najua karate naomba kupigana na komandoo alafu uje utupe feedback imekuaje
 
Mazoezi hayo ndo yanawafanya wakija mtaani kwetu wanaanzisha vurugu wakichapwa wanakuja kufunga mtaa kama wapo Dafur, wakipelekwa vitani wanauliwa wanatudanganya amekufa 1 kumbe 48

Kwa mazoez hayo wataacha kufa 60??ila nawaamiia kwa kupiga raia wasio na mafunzo yoyote
 
Yap hilo hilo la Si lelemama una ujuzi nalo?
Maana unaposema hayo mazoezi yamepitwa na wakati sijui wale wamarekani waliofanya mission ya kumuua Osama walikaa Ofisini na kudeal na computer tu bila kuwa fit kimazoezi?

wale wamarekani walimuua "osama",hawa hata wauaji wa albino hawajawashika,sasa mazoez ya nn kama sio kumaliza sembe tu,wawekeze kichwani sio kwenye mwili,kukomaza miili tu hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom