Jeshi si lelemama

Jeshi si lelemama

jeshin napaelew sana..:thumbup:

Jarib kuwa tafuta GGK Comando wapo vizuri aisee
 
hapo mguu wa kulia unatakiwa unyooke.watu wa karate watakuwa wanaelewa nini maana yake
 
Hawa makomandoo hongera zao...wako fit acha watu wawadharau. Wanafanya sana mazoezi. Mara nyingine 17-19 hours a day for several days ili kumudu kashkash za medani ya kivita. Nchi nyingine wanatunza mana ndio hazina na mabegani mwao wamebeba dhamana kubwa ya kulinda na kutetea uhuru wa nchi. Hapa kwetu kama tunawalisha uji na kuwapa komoni wawe wanalewa hilo litakuwa tatizo letu.
 
well said mkuu...
 
Wengine kutwa wako uswahilini wanakunywa chibuku, sijui kazini wanaendaga saa ngapi au wale wako kwenye kitengo gani?
 
sasa yanaongezeka na majeshi ya vyama, ukilegea unakosa ajira
 
Show ilifana sana.

Ila mwalimu wangu wa karate alikuwa ananisisitizia kutokunja mguu wa chini na kuinamisha shingo.

Eti ntakuwa narahisisha zoezi.
 
si mchezo mkuu...
 
Mazoezi hayo ndo yanawafanya wakija mtaani kwetu wanaanzisha vurugu wakichapwa wanakuja kufunga mtaa kama wapo Dafur, wakipelekwa vitani wanauliwa wanatudanganya amekufa 1 kumbe 48
 
kwahyo unashauri haya mazoezi tusiwape?
 
kwenye karate unaeza sema hii ni level ya white belt maana hata msamba hawawezi piga kwa jinsi walivyosimama hapo
 
Back
Top Bottom