The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Filimbi ya mwisho imeshapulizwa na kuashiria kwamba the game is over for Mubarak. Sasa hivi nadhani anajitahidi kuomba usalama wake na familia yake yote na pia kuwaomba Marekani wamtafutie nchi ambayo itampokea kwa mikono miwili bila kumgusa au kumkamata na pia kupatiwa usafiri wa huko aendako. Sidhani kama kuna nchi ya magharibi itakayokuwa tayari kumpokea hivyo uwezekano mkubwa atakwenda katika moja ya nchi za ME hasa Saudi Arabia.
Clinton urges 'transition to a democratic regime' in Egypt - World news - Mideast/N. Africa - msnbc.com
MwanaFalsafa1 i really like your comment it reflects somethingTatizo la Watanzania the people reflect the leaders themselves. Tanzania wanasiasa mdomo mwingi bila action na wananchi hivyo hivyo. Tunisia kaanzisha mtu mmoja tu na wengine wakafuata. Sasa nyie wanaJF mnaoshabikia mapinduzi mbona hamna hata mmoja kati yenu ambae yupo tayari kuanza na wengine wakafuata?
Sio kweli, kanuni yako imepinda.Ukishaanza kuua wananchi wako kwa ajili ya kubakia mabadarakani katika mazingira ya kisiasa unachochea wananchi wako kuzidi kukupinga. Hii ni kanuni ambayo bado haijaoneshwa kuwa ya uongo.
Sio kila jeshi linapochukua nchi "linaandaa muda wa kurejesha utawala wa kiraia." Linaweza likaja jeshi na likakaa forever.Hivyo umebakia uamuzi mmoja tu nao ni jeshi kuchukua madaraka na kuandaa muda wa kurejesha utawala wa kiraia.
Tanzania people reflect the leaders themselves too much talkinghivi kwa nini siyo tanzania? mbona na sisi tumekichoka chama kilichopo madarakani ila hatuchukui hatua? dowans epa IPTL MFUMUKO WA BEI, MIKATABA MIBOVU NA HUDUMA MBOVU ZA KIJAMII HIVI HATUJAPANDISHA HASILATU?
However one looks at it: Mubarak is kwishehi! Jeshi linaweza kabisa kuchukua madaraka au kuwa na shinikizo kubwa katika mabadiliko yeyote ya kisiasa yatakayotokea Misri. Such has been the tradition since the 1952 army coup.
Naungana na Bubu A. K., nadhani wamarekani wanaushawishi mkubwa katika swala hili ukiangalia kwamba serikali ya marekani inatoa msaada wa $ 1.3 bilioni kwa mwaka kwa jeshi la Misri.
Hivi sasa inaonekana wamarekani wanahaha na kuogopa isije jamaa wa Muslim Brotherhood au kikundi chochote chenye siasa kali (so called 'islamic fundamentalists') kuchukua madaraka.
Naambiwa Muslim Brotherhood are the likes of HAMAS na AL-QAEDA ni chama chenye msimamo mkali sana na Serikali ya Marekani wanafanya kila liwezekanalo ili chama hicho kisishike hatamu ya uongozi Misri
there is no way he will remain on Power, watu wameshachoka na maisha, he must
step down, na ukitaka kujua Jeshi lipo lipo tu ni pale wananchi wa Misri wanapokaa
kwenye vifaru pamoja na wanajeshi na wanajeshi wanonyesha alama ya vidole
viwili, kati ya picha iliyo nitouch look this huko EgyptView attachment 21740 No one can
stop Peoples' power, lazima UCHAGUZI UFANYIKE
Kwa hali ilivyosasa naamini ndani ya masaa 72 yajayo yataamua Misri inaelekea wapi. Kuna dalili zote kuwa bila ya Mubarak kuachia ngazi wananchi Misri hawatakoma. Ukishaanza kuua wananchi wako kwa ajili ya kubakia mabadarakani katika mazingira ya kisiasa unachochea wananchi wako kuzidi kukupinga. Hii ni kanuni ambayo bado haijaoneshwa kuwa ya uongo.
Hivyo, naamini kwa kuangalia hali ya kisiasa sidhani kama mabadiliko ya kiuongozi yaliyofanywa na Mubarak yatatosha kuwatuliza wananchi- Hivyo umebakia uamuzi mmoja tu nao ni jeshi kuchukua madaraka na kuandaa muda wa kurejesha utawala wa kiraia.
Kikubwa zaidi kinachofanywa nyuma ya pazia ni kuzuia Muslim Brotherhood kuingia madarakani katika mazingira haya.
there is no way he will remain on Power, watu wameshachoka na maisha, he must
step down, na ukitaka kujua Jeshi lipo lipo tu ni pale wananchi wa Misri wanapokaa
kwenye vifaru pamoja na wanajeshi na wanajeshi wanonyesha alama ya vidole
viwili, kati ya picha iliyo nitouch look this huko EgyptView attachment 21740 No one can
stop Peoples' power, lazima UCHAGUZI UFANYIKE