Imefika wakati jeshi lijitokeze na kutoa msimamo kama wanaunga mkono upotoshaji wa haki na kunyamaza wakati watanzania wanatekwa na vyombo vingine na wanasiasa wananyima haki. Au Jeshi litoe msimamo kwamba Tanzania katiba inatakiwa kufuata ikiwa ni pamoja na kuwa na uhuru wa kupiga kura, kukomesha utekaji wa aia yeyote unao endelea Tanzania na kufuata haki.
Watanzania watapongeza kwa hili maana Polisi na Usalama sasa wamekuwa wanasiasa na jeshi na kitengo chake cha iusalama hawawezi kuendelea kukaa kimpya na kuacha unyanyasaji wa raia kwa kiasi hiki. Sisi tupo nyuma yenu kwa lengo la kuleta haki Tanzania