Jeshi la Wananchi wa Tanzania mko Tayari kwenda kulinda amani ya raia wa nchi ya Kongo lakini si kulinda Uhai wa Mtanzania,!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
3,101
Reaction score
14,248
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

"Jeshi la Wananchi wa Tanzania" mko bize kila mwaka kwenda kutuliza na kulinda amani ya wananchi wa Kongo lakini hamko Tayari katakata kulinda Uhai wa Watanzania wenzenu!Je Kuna uhalali wowote wa kutambulika kama "Jeshi la Wananchi wa Tanzania? au Tungoje Jeshi Jingine?"

Leo hii Jeshi la Wananchi wa Tanzania limeshuhudia maelfu ya Watanzania wakipigwa risasi za moto na majambazi/Vibaka wanaojiita "Polisi/Usalama wa Taifa" hadi kupelekea kukatisha Uhai wao,Je Jeshi limeungana na watesi wa Watanzania mamilioni ambao hawamtaki Samia Suluhu Hassan na Genge lake wawatawale?

Je Watanzania Kuna Jeshi wanalitegemea au ni hilihili linaloshuhudia Wananchi wake wakiuawa kama kuku huko mtaani?,Kama mnashindwa kulinda Uhai wa Watanzania wenzenu humu ndani,Je ni kweli Watanzania waendelee kuwaamini au mnatumika kisiasa?

Kinachowapelekaga Kongo ni kitu gani wakati wananchi wengi wanatekwa,wanapotezwa na kuuawa halafu bado mko kimya?

Je,mnadhani ni kwanini mtu aliyejitokeza na kusema yeye ni kapteni wa Jeshi aitwaye "JOHN TESHA" alishangiliwa na wananchi!.

Watanzania wamechoka,wameumizwa,kuuawa,wameteswa sana na hawana pa kupeleka matatizo Yao kwasababu Mahakama inatumika kisiasa(Haitoi Haki),Bunge linatumika kisiasa( Hasa kumshangilia na kumtetea Rais wa ambaye anatokana na Chama Chao cha CCM),Idara nyeti zote ndani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano hazitendi Haki.

Haki pekee ambayo Watanzania walikuwa na matumaini nayo ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania,ndiyo maana kila mahali mnakopita watu walikuwa wanawashangilia!

People of This beautiful country they have tired of this Dictator woman who try to govern the way she want,That's why people when hear about Captain Tesha they celebrate!

Mnaendaje kuwalinda wakongo wakati humu ndani ya nchi yenu watu hawana Furaha na amani?,Kinachowapekaga Kongo huwa ni Nini wakati Watanzania wenzenu wanatekwa,wanapotezwa na kuuawa?

Juzi,Sote ikiwemo nyinyi (Jeshi la Wananchi)tumemsikia Kibaka mmoja mzoefu wa kuteka,Kuuwa na Kupoteza watu ajulikanaye Kwa jina maarufu "MAFWELE",Akitamba mbele ya kadamnasi ya kwamba wanajeshi wenye viherehere wote kwasasa wanakula nao sahani moja (Kuwashughulikia)

Je,Mamlaka za Kijeshi ndani ya Jeshi la Wananchi zimefeli kiasi kwamba huyu Kibaka " MAFWELE" atambe kiasi hiki?

Askari wa Jeshi wenye vyeo vidogo na vyeo vya kati wanahangaika kuhusu Uniform pamoja na Mishahara,Madai Yao hayasikikizwi na kushughulikiwa lakini mwisho wa siku Kuna kundi la wajinga wachache toka serikalini ambao wanagawana "Posho" na Viongozi wakuu wa Jeshi la Wananchi wanawashawishi Kwa "Hongo" kubwa kiasi kwamba hayo Madai hayapaswi kusikilizwa na kufanyiwa kazi mahali popote pale,na kibaya zaidi wanawaambia "Tii sauti ya mkuu wako,usipotii utafukuzwa kazi na ikiwezekana kupotezwa au kufunguliwa mashitaka"

Wakati askari Jeshi wenye vyeo vya chini wakikesha kuilinda nchi huku wakipigwa na Baridi,waking'wata na mbu,No kutumia simu,No access to Internet,No picture for kumbukumbu,Wakati huo wapo wakubwa wao wanashirikiana na wanasiasa kuihujumu nchi na kuwadidimiza Kwa kutumia hizo hizo lasilimali zao ambazo zingefanya mwanajeshi wa kima Cha Chini kabisa nchini alipwe Tsh Milioni 1.5

Hawaruhusiwi kuhoji kwasababu wataambiwa wanakiuka viapo vya utii na adhabu yake ni kuuawa!

THIS IS NOT ACCEPTABLE!

Bado Nina imani na Jeshi la Wananchi wa Tanzania,Jeshi hili linawapenda sana Watanzania,sema Kuna ka kikundi ka wapuuzi wachache hapo Jeshini ambako kanatiiwa kwasababu ya ukubwa wa vyeo vyao mabegani,That's why wanajeshi wetu wanatii na kuheshimu,kibaya zaidi hako ka kikundi ka hao Viongozi kana toa order wanajeshi wote wafuate na watii amri hata kama itaondoa Uhai wa Watanzania!

Samia Suluhu Hassan ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Lakini kama anaagiza watu wauuawe Kuna Nini hapo?

Abductions of People but Army Still Quiet,Why?

Disappearance of People but Army Still Quiet,Why?

People Disappearance and found dead in their own country but Army still Quiet,Why?
 
Ndo maana wakienda kongo m23 wanawafir*, wakipita Rwanda wanaawadhalilisha
Tunakoelekea kila aliyechanganyikiwa atapatiwa tiba inayomfaa kulingana na wendawazimu wake.
 
Jeshi la tanzania lipo radhi raia wafe lakini mafisadi waishi, lipo tayari nchi iuzwe lakini mafisadi wawe salama ,hili jeshi ni jeshi la aina gani hili.

Oktaba 29 imetufumbua macho vizuri kabisa kwamba kumbe hawa jamaa tulikuwa tunawaheshimu bure tu kumbe nao hawana uzalendo wowote ni wahuni tu, tuliwaamini kumbe hawatakiwi kuaminika hawa, wanakula tu kodi zetu hawa makambini huko kumbe hawana jipya lolote.
 
Watanzania tunaishi kama yatima kwenye Nchi yetu.
CCM wamejimilikisha kila kitu kwenye Nchi hii.

JWTZ imefanywa green guards .

Tuache kulia lia, tupambane kuikomboa Nchi yetu.

December 9 kiwake tuanze upya.
 
Basi mtakapona chukizo la uharibinifu limefikia hapo asomaye na afahamu kwamba muda uliotabiliwa na nabii umefika
Soma bilblia mathayo 24:15
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

"Jeshi la Wananchi wa Tanzania" mko bize kila mwaka kwenda kutuliza na kulinda amani ya wananchi wa Kongo lakini hamko Tayari katakata kulinda Uhai wa Watanzania wenzenu!Je Kuna uhalali wowote wa kutambulika kama "Jeshi la Wananchi wa Tanzania? au Tungoje Jeshi Jingine?"

Leo hii Jeshi la Wananchi wa Tanzania limeshuhudia maelfu ya Watanzania wakipigwa risasi za moto na majambazi/Vibaka wanaojiita "Polisi/Usalama wa Taifa" hadi kupelekea kukatisha Uhai wao,Je Jeshi limeungana na watesi wa Watanzania mamilioni ambao hawamtaki Samia Suluhu Hassan na Genge lake wawatawale?

Je Watanzania Kuna Jeshi wanalitegemea au ni hilihili linaloshuhudia Wananchi wake wakiuawa kama kuku huko mtaani?,Kama mnashindwa kulinda Uhai wa Watanzania wenzenu humu ndani,Je ni kweli Watanzania waendelee kuwaamini au mnatumika kisiasa?

Kinachowapelekaga Kongo ni kitu gani wakati wananchi wengi wanatekwa,wanapotezwa na kuuawa halafu bado mko kimya?

Je,mnadhani ni kwanini mtu aliyejitokeza na kusema yeye ni kapteni wa Jeshi aitwaye "JOHN TESHA" alishangiliwa na wananchi!.

Watanzania wamechoka,wameumizwa,kuuawa,wameteswa sana na hawana pa kupeleka matatizo Yao kwasababu Mahakama inatumika kisiasa(Haitoi Haki),Bunge linatumika kisiasa( Hasa kumshangilia na kumtetea Rais wa ambaye anatokana na Chama Chao cha CCM),Idara nyeti zote ndani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano hazitendi Haki.

Haki pekee ambayo Watanzania walikuwa na matumaini nayo ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania,ndiyo maana kila mahali mnakopita watu walikuwa wanawashangilia!

People of This beautiful country they have tired of this Dictator woman who try to govern the way she want,That's why people when hear about Captain Tesha they celebrate!

Mnaendaje kuwalinda wakongo wakati humu ndani ya nchi yenu watu hawana Furaha na amani?,Kinachowapekaga Kongo huwa ni Nini wakati Watanzania wenzenu wanatekwa,wanapotezwa na kuuawa?

Juzi,Sote ikiwemo nyinyi (Jeshi la Wananchi)tumemsikia Kibaka mmoja mzoefu wa kuteka,Kuuwa na Kupoteza watu ajulikanaye Kwa jina maarufu "MAFWELE",Akitamba mbele ya kadamnasi ya kwamba wanajeshi wenye viherehere wote kwasasa wanakula nao sahani moja (Kuwashughulikia)

Je,Mamlaka za Kijeshi ndani ya Jeshi la Wananchi zimefeli kiasi kwamba huyu Kibaka " MAFWELE" atambe kiasi hiki?

Askari wa Jeshi wenye vyeo vidogo na vyeo vya kati wanahangaika kuhusu Uniform pamoja na Mishahara,Madai Yao hayasikikizwi na kushughulikiwa lakini mwisho wa siku Kuna kundi la wajinga wachache toka serikalini ambao wanagawana "Posho" na Viongozi wakuu wa Jeshi la Wananchi wanawashawishi Kwa "Hongo" kubwa kiasi kwamba hayo Madai hayapaswi kusikilizwa na kufanyiwa kazi mahali popote pale,na kibaya zaidi wanawaambia "Tii sauti ya mkuu wako,usipotii utafukuzwa kazi na ikiwezekana kupotezwa au kufunguliwa mashitaka"

Wakati askari Jeshi wenye vyeo vya chini wakikesha kuilinda nchi huku wakipigwa na Baridi,waking'wata na mbu,No kutumia simu,No access to Internet,No picture for kumbukumbu,Wakati huo wapo wakubwa wao wanashirikiana na wanasiasa kuihujumu nchi na kuwadidimiza Kwa kutumia hizo hizo lasilimali zao ambazo zingefanya mwanajeshi wa kima Cha Chini kabisa nchini alipwe Tsh Milioni 1.5

Hawaruhusiwi kuhoji kwasababu wataambiwa wanakiuka viapo vya utii na adhabu yake ni kuuawa!

THIS IS NOT ACCEPTABLE!

Bado Nina imani na Jeshi la Wananchi wa Tanzania,Jeshi hili linawapenda sana Watanzania,sema Kuna ka kikundi ka wapuuzi wachache hapo Jeshini ambako kanatiiwa kwasababu ya ukubwa wa vyeo vyao mabegani,That's why wanajeshi wetu wanatii na kuheshimu,kibaya zaidi hako ka kikundi ka hao Viongozi kana toa order wanajeshi wote wafuate na watii amri hata kama itaondoa Uhai wa Watanzania!

Samia Suluhu Hassan ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Lakini kama anaagiza watu wauuawe Kuna Nini hapo?

Abductions of People but Army Still Quiet,Why?

Disappearance of People but Army Still Quiet,Why?

People Disappearance and found dead in their own country but Army still Quiet,Why?
Wamesema kule walipwa Dola huku walipwa pesa za madafu
 
kwa watanzania ni haya yafuatayo;
1.Ni nani aliagiza watu wapigwe risasi na kuuawa vile?
2.Wapigaji risasi wale ni wakina nani na wapo wapi?
3.Ni kwanini uchaguzi ufanyike kwa namna OVU kwa kiwango kile?
4.Watu waliokufa wapo wapi?
5.Wataongozaje taifa la watu wasiowataka?
6.Ni nani anayeteka na kuua watanzania?
Waliotekwa wapo wapi?

Haya maswali wayatafakari na wayazingatie

"MAMAA AMKA, AMKA MAMAAA" sauti hii ikinijia machozi yanashuka.
Eeee Mungu shusha pigo lako.
 
Back
Top Bottom