JESHI LA WANANCHI SHIKAMOO.

JESHI LA WANANCHI SHIKAMOO.

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
886
Reaction score
664
Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama.
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka " Nchi inaibiwa, Nchi imeuzwa, kuna wachache wanaidhurumu nchi, watu wanahamisha urithi wetu, kuna watu wanatoa uhai wa watu wetu" Mimi Naziita kelele,kwa kuwa hazina uthibitisho lakini penye Moshi pana moto. Jenshi letu tumewapa kila dhamana ya Nchi yetu. Niulize tu hizi kelele za kweli? Kama zina chembe ya ukweli mko wapi mpaka watu waingie barabarani,? Hata kama mnakula vizuri mnaishi vizuri mmewezeshwa kwa kila hitaji, lakini Sisi waajiri wenu kelele zimezidi je haziwawasi usingizi mnaona sawa tu. !
Mheshimiwa Mdogo wangu Gen. Mkunda Shikamoo.
 
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka " Nchi inaibiwa, Nchi imeuzwa, kuna wachache wanaidhurumu nchi, watu wanahamisha urithi wetu, kuna watu wanatoa uhai wa watu wetu" Ni ni Naziita kelele,kwa kuwa having uthibitisho lakini pence Moshi pana moto. Tumewapa kila dhamana ya Nchi yetu. Niulize tu hizi kelele za kweli? Kama zina chembe ya ukweli mko wapi mpaka watu waingie barabarani,? Hata kama mnakula vizuri mnaishi vizuri mmewezeshwa kwa kila hitaji, lakini Sisi waajiri wenu kelele zimezidi je haziwawasi usingizi mnaona sawa tu. !
Mheshimiwa Mdogo wangu Gen. Mkunda Shikamoo.
Possibly, linaonekana liko imara kwasababu halijawa TESTED.

Ncji imegawanyika, MAHUNI, MAAADUI wote wamejificha CCM.
 
Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama.
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka " Nchi inaibiwa, Nchi imeuzwa, kuna wachache wanaidhurumu nchi, watu wanahamisha urithi wetu, kuna watu wanatoa uhai wa watu wetu" Mimi Naziita kelele,kwa kuwa hazina uthibitisho lakini penye Moshi pana moto. Jenshi letu tumewapa kila dhamana ya Nchi yetu. Niulize tu hizi kelele za kweli? Kama zina chembe ya ukweli mko wapi mpaka watu waingie barabarani,? Hata kama mnakula vizuri mnaishi vizuri mmewezeshwa kwa kila hitaji, lakini Sisi waajiri wenu kelele zimezidi je haziwawasi usingizi mnaona sawa tu. !
Mheshimiwa Mdogo wangu Gen. Mkunda Shikamoo.
Jibu ni Rost tamu keshapenya na humo. Kama kwingine yuko, kwa Mkuru ananyanyua simu tu anafyata. Atashindwaje huko?
 
Umekurupuka sema hapa tanzania umiliki wa silahaa unavikwazo vingi .Ungekuwa umekaa huko mataifa ambayo silahaa ni kama kununua simu ili mradi uwe na akili ya sabaya na kitambulisho.
 
Huyo mkunda mwenyewe nayeye aliishia kulalamika tu kama wewe kwamba nchi inawahuni wa nje wamejipenyeza na Wana mamlaka makubwa wakuikomboa hii nchi hayupo ndg
 
Historia inasema, mifumo ya uingereza ni tofauti na mifumo ya mfaransa kiutawala.
 
Huyo mkunda mwenyewe nayeye aliishia kulalamika tu kama wewe kwamba nchi inawahuni wa nje wamejipenyeza na Wana mamlaka makubwa wakuikomboa hii nchi hayupo ndg
Nimesema Kuna watu wamejipenyeza hata katika Jeshi kwa maslahi yao na mabwana zao. Aliyetoa post akasema Sina akili.
 
Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama.
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka " Nchi inaibiwa, Nchi imeuzwa, kuna wachache wanaidhurumu nchi, watu wanahamisha urithi wetu, kuna watu wanatoa uhai wa watu wetu" Mimi Naziita kelele,kwa kuwa hazina uthibitisho lakini penye Moshi pana moto. Jenshi letu tumewapa kila dhamana ya Nchi yetu. Niulize tu hizi kelele za kweli? Kama zina chembe ya ukweli mko wapi mpaka watu waingie barabarani,? Hata kama mnakula vizuri mnaishi vizuri mmewezeshwa kwa kila hitaji, lakini Sisi waajiri wenu kelele zimezidi je haziwawasi usingizi mnaona sawa tu. !
Mheshimiwa Mdogo wangu Gen. Mkunda Shikamoo.
Kaa kmya kabsaa, kelel za Nini? Kuna mtu kafanya kazi hajapewa ela yake? Kuna mtu hajasema mtu kaja kukamatwa akiwa kwake?
 
Ni hatari....kwani kipimo Cha jeshi imara ni kipi? Ukiondoa historia ya nyuma ya uhuru...currently inasemekana jeshi lipo imara sana ...najiulizaga kipimo Chao ni kipi??. Au kukaa kimya ndio uimara....vurugu ni nyingi sana.....hata kama ni usalama wa nchi lakini itafika kipindi wataua wananchi wote wabakie wenyewe na utulivu wa nchi sasa
 
Back
Top Bottom