palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Live by aljazeera, president Mohamed morsi has been overthrown and constitution provisionally suspended. The country's chief justice will lead an interim government and organise elections in the next twelve months. Army responding to people's demand. New kind of coup deta in Africa!
Kuichukua tv ya taifa haitoshi...yaani napiga picha JWTZ ikaichukue TBC...its too low..wakaichukue white houce kabisa na yule MORSI wamuweke under arrest...hapo itakuwa pouwa sana
Wameanza kwa kuikamata kwanza tv ya taifa ili waitumie kuutangazia umma wa wamisri juu ya utekelezaji wa maamuzi yao ya kuchukua uongozi wa nchi baada ya raisi morsi kujifanya kichwa ngumu. Kuichukua "white house" ya misri ni suala jepesi sana wala halitawahitaji kufikiria mara mbili.
Wameanza kwa kuikamata kwanza tv ya taifa ili waitumie kuutangazia umma wa wamisri juu ya utekelezaji wa maamuzi yao ya kuchukua uongozi wa nchi baada ya raisi morsi kujifanya kichwa ngumu. Kuichukua "white house" ya misri ni suala jepesi sana wala halitawahitaji kufikiria mara mbili.
JWTZ vp mnajifunza jambo hapo??
Si waliuondosha utawala uliopita kwa mbwembwe sasa kuna nini tena..!! na huyu hawamtaki na anaekuja hawatamtaka.. hadi kiama kitasimama.. ------..Muda wa saa 48 ndiyo umekwisa jeshi limetwaa kituo cha tv cha taifa . Habari za uhakika ni kuwa jeshi litaunda serikali ya mpito kwa miezi 12.
Bunge litavunjwa pamoja na kuifuta rasimu ya katiba iliyopitishwa. Uchaguzi wa wabunge na nyinginezo zitafanywa katika kipindi cha miezi 12 ijayo.
Ni maamuzi ya Umma wa Wamisri, wewe endelea na ukondoo wako na nyinyiemu yako.Si waliuondosha utawala uliopita kwa mbwembwe sasa kuna nini tena..!! na huyu hawamtaki na anaekuja hawatamtaka.. hadi kiama kitasimama.. ------..
Lakini si walimchagua wenyewe, au alijiweka kwa nguvu..??Ni maamuzi ya Umma wa Wamisri, wewe endelea na ukondoo wako na nyinyiemu yako.
Hapo ndio muujue U,honeythi wa Mmarekani.