Jeshi la Urusi laipatia Jeshi Syria ndege 10

Kuna ile kitu ya US inatwa MOAB-Massive Ordinance Air Balistic/Mother Of All Bombs, lakini kuna SATAN 2, Je kwenye Millitary Capability ipi ni tishio?!

Nimesoma mahali,SATAN2 inaweza kuizamisha France au UK au Texas kwa Kombora moja tu. Hii sasa ni sifa ya kijinga hii.
Aviation Thermobaric Bomb of Increased Power (ATBIP) linamilikiwa na RUSSIA hili ina nguvu mara 4 ya hilo MOAB nalinaitwa FOAB Father of All Bombs. Actually MOAB maana yake ni Massive Ordinance Air Blast. Hayo maneno ya mother na father of all bombs ni majina ya utani lakini ni official nicnames. Satan 2 ni Missiles tena ni ICBM haifananishwi na haya mabomu ya kawaida kama MOAB na FOAB.
 
Kuna ile kitu ya US inatwa MOAB-Massive Ordinance Air Balistic/Mother Of All Bombs, lakini kuna SATAN 2, Je kwenye Millitary Capability ipi ni tishio?!

Nimesoma mahali,SATAN2 inaweza kuizamisha France au UK au Texas kwa Kombora moja tu. Hii sasa ni sifa ya kijinga hii.

Mkuu MOAB ni convectional bomb, huwezi fananisha na SATAN ambayo ni kati ya latest neuclear weapon. Zinahitajika MOAB 1000 kuleta madhara japo yanayokaribiana na ya fat man, a nuke iliyoangusha Nagasaki. Alternative ya MOAB, Ni FATHER OF ALL BOMBS ya mrusi....pitia google father of all bombs.....
 
Kuna ile kitu ya US inatwa MOAB-Massive Ordinance Air Balistic/Mother Of All Bombs, lakini kuna SATAN 2, Je kwenye Millitary Capability ipi ni tishio?!

Nimesoma mahali,SATAN2 inaweza kuizamisha France au UK au Texas kwa Kombora moja tu. Hii sasa ni sifa ya kijinga hii.
Satan 2 ni nyuclear na MOAB ni non-nuclear
 
Kuna ile kitu ya US inatwa MOAB-Massive Ordinance Air Balistic/Mother Of All Bombs, lakini kuna SATAN 2, Je kwenye Millitary Capability ipi ni tishio?!

Nimesoma mahali,SATAN2 inaweza kuizamisha France au UK au Texas kwa Kombora moja tu. Hii sasa ni sifa ya kijinga hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu hizi stori mnatoaga wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti inaweza zamisha nchi nzima
Hakuna bom linaloweza zamisha nchi ukubwa wa frace.
 
Kuna ile kitu ya US inatwa MOAB-Massive Ordinance Air Balistic/Mother Of All Bombs, lakini kuna SATAN 2, Je kwenye Millitary Capability ipi ni tishio?!

Nimesoma mahali,SATAN2 inaweza kuizamisha France au UK au Texas kwa Kombora moja tu. Hii sasa ni sifa ya kijinga hii.
[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
No russia hawez toa su-35 kwa sasa.. hiyo ndio icon ya jeshi la anga la russia. So su-27 or su-33.
F-22 ni stealth fighter... su-35 sio stealth... but very manuverable...
Sikuiz dogfight haipo duniani hasa kwenye ndege za kisasa ko manuvability haina haja kama zaman
 
Forget the ‘mother of all bombs,’ meet the Russian-made ‘daddy’
Published time: 14 Apr, 2017 13:44
Edited time: 14 Apr, 2017 17:19

The bomb is four times more powerful than the one dropped by the US in Afghanistan. [emoji767] Reuters / Reuters
The US boasts that its GBU-43/B Massive Ordnance Air Blast bomb (MOAB), known as the ‘Mother of all bombs’, is the largest ever non-nuclear bomb used in combat but, don’t be fooled, Russia possess something far superior. Kids, meet Daddy.
The Aviation Thermobaric Bomb of Increased Power, known as the ‘Father of all bombs’ (FOAB), was developed by Russia in 2007 and eclipses its US rival in both power and efficiency.
It can inflict a 44 ton-yield when detonated, compared to the 11-ton-yield of the mother. Unlike its US counterpart though it’s less hefty, weighing in at 7,100kg compared to 8,200kg.
READ MORE: Meet the ‘Mother Of All Bombs’: 6 facts about bomb Trump dropped on Afghanistan
The FOAB explodes mid-air, combining with atmospheric oxygen to extend the blast radius as it vaporizes targets and collapses structures. Gases are burnt within the vicinity of the blast producing a vacuum, which can drag objects in towards the center of the explosion.
Following its 2007 test, the location of which is unknown, the targeted area was left with scorched earth described as looking “more like the surface of the moon.”
Alexander Rukshin, a deputy chief of the Russian armed forces, said at the time it showed “its effectiveness and capabilities are comparable to nuclear weapons. At the same time use of this weapon does not damage or pollute the environment, like a nuclear weapons.”
MOAB sio bomb kubwa US
Bomb kubwa US ni MOP
 
Af hilo la Russia halina much phisical damage maana linaphase mbili ya kwanza ni kurusha exprosive material angani na pili kuziunguza
Uku MOAB ina one phase na inanguvu zaid
 
We unaesema urusi kuna njaa kama sio mihemko basi utakuwa mbumbumbu kafuatilie Kilimo kinaendeshwaje huko Russia utapata majibu halaf uwe siriaz kidogo Russia usiingize kwenye mambo ya kiboya kama hayo hawapo kwny stage hizo.
 
Sikuiz dogfight haipo duniani hasa kwenye ndege za kisasa ko manuvability haina haja kama zaman
Nani kasema? Dog fight ilikuwepo zaman.. na itazid kuwepo...
Thats way US navy ina fly F/A 18 hornet na F/A 18 super hornet...
Kwenye land wana F-22 raptor.. F-35 B.. F-15SE na F-16block 50.
Russia wana stealth fighter mpya in production T-50 ,wana Su-35.. kwa upande wa navy wana Su-33.
All This plane zinauwezo wa kushambulia na kujidefend... na pia kuna vita ya angani.. kati ya ndege za kivita zenyewe.... na hizo ndege lazima ziwe superior... from manuverbility... weapon, and electronic warfare...
Technology iliyoongezwa kwenye hizo ndege.. ni kwa ajil ya kurahisiha dogfight...
 
Russia imesema inalipatia Jeshi la Syria ndege kumi aina ya Sukhoi - SU 24M2 Fencer - D kwa ajili kuendeleza mapambano /Aircraft
Russia - Air ForceView attachment 495786
Sukhoi Su-24M2
Reg.: RF-92247
MSN: 1341620
Code: 44 red
Location & Date
Withheld
Russia - February 2013
Russia ataumbuka tu,uchumi wake ni shida
 
Back
Top Bottom