ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Kweli kabisa.sat
satan ina capability kubwa ila kusema inawipe whole UK ni ku exagerate ,mambo(mtazamo wangu tu)
Kweli kabisa.sat
satan ina capability kubwa ila kusema inawipe whole UK ni ku exagerate ,mambo(mtazamo wangu tu)
hahahahaha mkuu fani imeendana na maudhui kabisakitu chenyewe kinaitwa "SATAN" ulitegemea nn hapo mkuu
hahahahaha watoto wetu wataweza kuzisoma zote tatu kwa ufasaha kama WW1 & WW2 zinasumbuaMuda wa danganya toto ya USA NA URUSI ifikie mwisho Sasa wazichape dunis tuweke historia ya WW3
Nadhan su-33 na variants zake.. ni nzuri kwa hii vita sababu ni multirole....su-33 unless km wanatk kudeal na US vingnevyo hainaulazimawa syria kuwa nayo kwe vita hii
hao ndo wanaume sasa sio huku watu kama Putin hatunaDude lenyewe tani 10, speed yake likirushwa ni hatari,nadhani likitua au wakati linakaribia yanajigawanya na kusambaa. Sijui,wenyewe Warusi ndo wanajua,ila ukisoma Specs zake siyo mchezo
No russia hawez toa su-35 kwa sasa.. hiyo ndio icon ya jeshi la anga la russia. So su-27 or su-33.Nahisi may b Su-35 kutokana na rada yake Kali. Ila bado US Ana F-22 radar na detection range yake ni zaid ya 400km.
Yah... Same to US kapiga ban F22 haiuzwi nje. Kamnyima had Israel maana yule ndo msambazaj mkuu wa US tec hasa kwa China.No russia hawez toa su-35 kwa sasa.. hiyo ndio icon ya jeshi la anga la russia. So su-27 or su-33.
F-22 ni stealth fighter... su-35 sio stealth... but very manuverable...
yeah bt mi sion haja ya multrirole wakati wao wanastrike groung targets peke yake, gharama ya kuiweka su-33 angani pamoja na maintenance ni kubwa kuliko su-22,Nadhan su-33 na variants zake.. ni nzuri kwa hii vita sababu ni multirole....
Labda wachukue na su-27
USA kuna homeless kibao na wanaokaa kwenye ma shelter.Hivi unajua uchumi wa USA? Russia Bado Kuna Njaa
Kama ni for ground ... kuna su-25 frogfoot.yeah bt mi sion haja ya multrirole wakati wao wanastrike groung targets peke yake, gharama ya kuiweka su-33 angani pamoja na maintenance ni kubwa kuliko su-22,
kitu chenyewe kinaitwa "SATAN" ulitegemea nn hapo mkuu
Hawa jamaa hawa,ni shidaForget the ‘mother of all bombs,’ meet the Russian-made ‘daddy’
Published time: 14 Apr, 2017 13:44
Edited time: 14 Apr, 2017 17:19
The bomb is four times more powerful than the one dropped by the US in Afghanistan. [emoji767] Reuters / Reuters
The US boasts that its GBU-43/B Massive Ordnance Air Blast bomb (MOAB), known as the ‘Mother of all bombs’, is the largest ever non-nuclear bomb used in combat but, don’t be fooled, Russia possess something far superior. Kids, meet Daddy.
The Aviation Thermobaric Bomb of Increased Power, known as the ‘Father of all bombs’ (FOAB), was developed by Russia in 2007 and eclipses its US rival in both power and efficiency.
It can inflict a 44 ton-yield when detonated, compared to the 11-ton-yield of the mother. Unlike its US counterpart though it’s less hefty, weighing in at 7,100kg compared to 8,200kg.
READ MORE: Meet the ‘Mother Of All Bombs’: 6 facts about bomb Trump dropped on Afghanistan
The FOAB explodes mid-air, combining with atmospheric oxygen to extend the blast radius as it vaporizes targets and collapses structures. Gases are burnt within the vicinity of the blast producing a vacuum, which can drag objects in towards the center of the explosion.
Following its 2007 test, the location of which is unknown, the targeted area was left with scorched earth described as looking “more like the surface of the moon.”
Alexander Rukshin, a deputy chief of the Russian armed forces, said at the time it showed “its effectiveness and capabilities are comparable to nuclear weapons. At the same time use of this weapon does not damage or pollute the environment, like a nuclear weapons.”
Sema waasi wa allepo na idlib hawawezi kumuelewa.wasyria wa allepo na idlib wanaweza wasikuelewe unachokiongea
Bongo shida huko nje nako shida tu. Wapuuzi wanataka ww3 hivi akili ziko Sawa kweli nyie???watu wenyewe mnashindia chips mayai kila siku,hata nguvu za kuinyanyua Ak47 huna. Mungu tunusuru. Mungu tuokoe sisi.Muda wa danganya toto ya USA NA URUSI ifikie mwisho Sasa wazichape dunis tuweke historia ya WW3