Jeshi la tanzania lakamata wanajeshi 20 wa congo nchini

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Jeshi Wananchi la Tanzania limewakamata wanajeshi 20 toka Jamhuri ya Kidemokrasia Ya Congo walioingia nchini kinyume cha sheria.
Msemaji wa Jeshi la wananchi wa Tanzania kanda ya Kigoma amesema wanajeshi hao toka DRC wameingia nchini kinyume cha sheria kupitia Ziwa Tanganyika wakiwa na boti ambayo walikuwa wakiitumia kuwafukuza waasi.
Wanajeshi hao walikuwa na maguruneti ya kurusha kwa roketi na kiasi kikubwa cha risasi. Toka Alhamisi wanajeshi wengi waasi toka DRC wamekuwa wakiingia mkoani Kigoma kutafuta matibabu huku wakiwa na majeraha makubwa.
Habari zaidi baadae
 
Back
Top Bottom