Jeshi la Syria limeukomboa rasmi mji wa Dara'a.

:D :D :D hujanionesha Bibilia bado, sisi tumeambiwa tuamini Injili ALIYOSHUSHIWA ISSA IBN MARYAM, sio INJIL ALIOANDIKA MATTAYO NA MASELA WENZAKE BAADA YA KUPIGA WINE! kumbe hujui kutofautisha baina ya kitabu alichoshushiwa Issa na kile alichoandika Mattao na yohane? :D :D :D umeingia mkenge jomba.... nikikwambia unaamini ujin.ga unakataa......
Dini ambayo Mungu anakufa, dini ambayo kitabu kitakatifu kinatungwa na mwanadamu akisha wanalishwa upupu wafuasi na kuambiwa kinatoka kwa Mungu :D
Injili aliyoshushiwa Isa? Isa yupo kwenye kuruani pekee hakuna sehem nyingine zaidi ya kuruani utampata Isa.
 
Injili aliyoshushiwa Isa? Isa yupo kwenye kuruani pekee hakuna sehem nyingine zaidi ya kuruani utampata Isa.
Ni vyema umetambua hilo, unatakiwa umfahamishe mgen kwamba kwenye Quran hatujaambiwa tufuate injili ya matayo na wenzake tumeambiwa tufate Injil ya Issa, sasa aache kuleta aya ambazo hazimhusu kutoka kwenye Quran
 
Ahahhahah Msiba kweli tunao, ukiristo unakufa na ndio tunaouzika tena. Maana hamuishi kubadili vitabu. Unaniuliza mimi iko wapi injili ya issa wakati wewe unajidai tumeambiwa tufuate bibilia? wewe ndio utuoneshe iko wapi injili aloshushiwa issa kwenye bibilia au huyo yesu? huna pakuitoa kwa sababu hamumfati yesu mnafuata Shetani mtakatifu?Holy Ghost.

Unafikiri dini ni Hollywood? Na ndio maana no one is taking your religion serious maana its a complete joke! Mungu anakufa, mungu ana baba na mama :D :D :D shughuli hii.View attachment 807389
Jaribu kushughulisha akili yako kidogo

Kama ulivyo andika Msiba kweli mnao wewe unae ikataa Biblia Takatifu utuonyeshe sasa hiyo INJILI uliyo ambiwa na baba kassim Uiamini! Tuwekee humu! Msiba kweli mnao deen ya Baba kassim imewapelekesha hadi mnauana wenyewe na kufia baharini mkiikimbia deen na nchi zenu na bado chamoto mtakiona
invading-horde.jpg
Weve-seen-what-Islam-offers.jpg
Yesu Alisha sema, Neno lake linatimia nikiliona kwa macho yangu
IMG_20180712_084505_653.jpg
umebakia kidole juu kasauti kadogo deen sio hollywood hata hujui deen ni kwa ajili ya makafir
IMG_20180712_090850_396.jpg
wanao kataa kwamba Mungu hajajidhihirisha ktk Umbile Bora la kibinadamu duniani umebakia deen, deen nakushangaa na unashangaza kwa kutojua la dhara wala la maskhara
 
Hiyo khutba peleka msikitini kwenye misukule kama wewe huko ukazawadiwe takbir...Kuhusu Mtume Paulo nimekurejesha maksudi kwenye rejea walio achiwa waumini qaraa, hadith, na miratul rasul ilete jibu kati ya Mitume 124 alio watuma allah waorodheshe ilj tuone na kuthibitisha kuwa Paulo sio Mtume! Biblia Takatifu na mgen ndio Rejea yako siku hizi? umeona rejea ulizo achiwa na allah ni pumba Utaelewa tu ado ado! Haya tuwekee hayo majina ya Mitume 124 ya Mitume Wa allah! Huna jidunge ndoba pangusa makalio usepe! Hiyo kibonzo ulicho kiweka mwalimu wa uchafu huo ni allah na baba kassim View attachment 807707 View attachment 807708View attachment 807709
Inang'anga'nia utajiwe mitume 124 wakati wewe unajidai kuwa paolo ametajwa, na umeshindwa kumtaja kwenye hio list na kutwambia yupo wapi. Na nimekwambia kwanini hawezi kuwemo kwenye hio list kwa sababu amekuja kuwafundisha kuwa kuna miungu mitatu na shetani mtakatifu, katika uislam hakuna miungu mitatu wala hakuna shetani mtakatifu. Misukule kapeleka kwa kakobe mumchangie sadaka akajiendeleze huku na nyie mkitolewa mapepo na vilema kuwa wazima eti :D :D

Picha yako ya ngurwe imenifurahisha kwa sababu ni nyama mnayoipenda huku bibilia ikiwa imewakataza, lakini ukiristo sio dini ni upupu kwaio haina haja kufuatwa....:D :D :D

Mungu wenu amekufa siku tatu, Mungu wenu amesulubiwa na viumbe vyake, Mapapa nao wanachagua alichokisema mungu kinachowapendeza wao. Nasubiri new version of bible, kikao lini mchungaji mgen? :D
 
Kama ulivyo andika Msiba kweli mnao wewe unae ikataa Biblia Takatifu utuonyeshe sasa hiyo INJILI uliyo ambiwa na baba kassim Uiamini! Tuwekee humu! Msiba kweli mnao deen ya Baba kassim imewapelekesha hadi mnauana wenyewe na kufia baharini mkiikimbia deen na nchi zenu na bado chamoto mtakiona View attachment 807764 View attachment 807765 Yesu Alisha sema, Neno lake linatimia nikiliona kwa macho yangu View attachment 807768 umebakia kidole juu kasauti kadogo deen sio hollywood hata hujui deen ni kwa ajili ya makafir View attachment 807770 wanao kataa kwamba Mungu hajajidhihirisha ktk Umbile Bora la kibinadamu duniani umebakia deen, deen nakushangaa na unashangaza kwa kutojua la dhara wala la maskhara
Eti umbile bora la kibinaadamu :D :D :D Mungu anakunya? Mungu anakojoa? wacha mzaha na mungu wenu :D mpe heshima kidogo.... Mungu anatoka damu.... ndio maana hakuna anaewachukulia kuwa nyinyi mko serious.

mhhh.jpg
ride.jpg
js-p.jpg
Ukiwa mkiristo kichwani ukapimwe tu maana isijekuwa una maji.

Vipi Aya moja inasema Mungu amemuumba binaadamu kwanza then wanyama, halafu sura hio hio inasema Mungu kaumba wanyama kwanza :D :D :D ah shida ya maneno ya mtu kuamini yanatoka kwa mungu :D Pole....
 
Ni vyema umetambua hilo, unatakiwa umfahamishe mgen kwamba kwenye Quran hatujaambiwa tufuate injili ya matayo na wenzake tumeambiwa tufate Injil ya Issa, sasa aache kuleta aya ambazo hazimhusu kutoka kwenye Quran
Ukitaka kumjua Mungu wa Kweli yupo kwenye Biblia. Ukitaka Kumjua Muhamadi yupo kwenye kuruani.
 
Eti umbile bora la kibinaadamu :D :D :D Mungu anakunya? Mungu anakojoa? wacha mzaha na mungu wenu :D mpe heshima kidogo.... Mungu anatoka damu.... ndio maana hakuna anaewachukulia kuwa nyinyi mko serious.

View attachment 807775 View attachment 807777 View attachment 807778 Ukiwa mkiristo kichwani ukapimwe tu maana isijekuwa una maji.

Vipi Aya moja inasema Mungu amemuumba binaadamu kwanza then wanyama, halafu sura hio hio inasema Mungu kaumba wanyama kwanza :D :D :D ah shida ya maneno ya mtu kuamini yanatoka kwa mungu :D Pole....
Embu weka iyo haya inayokuchanganya maana isijekuwa unatoa maneno ya kuruani ukafikiri ndio ya Biblia.
 
Ukitaka kumjua Mungu wa Kweli yupo kwenye Biblia. Ukitaka Kumjua Muhamadi yupo kwenye kuruani.
Ukitaka kuujua utukufu wa Mungu wa kweli na ambae hafanyiwi mzaha yupo kwenye Quran, ukitaka kumjua mwanadamu aliepewa hadhi ya mungu na pia kuamini kama mungu sio mmoja tu, pitia bibilia.
 
Embu weka iyo haya inayokuchanganya maana isijekuwa unatoa maneno ya kuruani ukafikiri ndio ya Biblia.
Tizama post za mgeni anaeweka hizo aya... halafu mfundisha kuwa wakiristo sio ahlu kitab wala hamuna injil aloshushiwa Isa wala yesu hamunayo.
 
Ukitaka kuujua utukufu wa Mungu wa kweli na ambae hafanyiwi mzaha yupo kwenye Quran, ukitaka kumjua mwanadamu aliepewa hadhi ya mungu na pia kuamini kama mungu sio mmoja tu, pitia bibilia.
mungu wa Quran anamtambua Mungu wa Biblia. Na anajua ndio Mungu mkuu tena kawashauri nyie viumbe vyake mumtambue Mungu wa Biblia. Ndio mana akawaambia maarifa mtapata kwa walioshushiwa kitabu mwanzo. Sasa kama unabishana na kuruani yako bisha tu maana kwako kubishana unajiongezea thawabu.
 
Onesha wapi? Mungu wa Quran hakuna mahala ametwambia tumtambue Yesu kuwa ni mungu, ukinionesha naritadi sasa ivi... Na vile vile, unachonishangaza kama bibilia yenu kujigonga gonga, sio wewe uliesema kuwa Isa wa Quran sio yesu na humkuti kwenye bibilia? :D :D sasa hio aya vipi inakuwa reference kwa yesu wenu wakati Quran inamzungumzia Issa ibn Maryam ambae hakusulibiwa msalabani? wa kwenu si alisubulubiwa? Na isitoshe vitabu ambavo Allah amevishusha, katwambia kama taurat, injil, zaburi, Quran. Taurat Kashushiwa Mussa, Injil Issa, Zaburi Daud, na Quran Muhammad. Sasa wewe umeona wapi Quran imetwambia tufate Injil ya Matayo na yohana? :D
 
Eti umbile bora la kibinaadamu :D :D :D Mungu anakunya? Mungu anakojoa? wacha mzaha na mungu wenu :D mpe heshima kidogo.... Mungu anatoka damu.... ndio maana hakuna anaewachukulia kuwa nyinyi mko serious.

View attachment 807775 View attachment 807777 View attachment 807778 Ukiwa mkiristo kichwani ukapimwe tu maana isijekuwa una maji.

Vipi Aya moja inasema Mungu amemuumba binaadamu kwanza then wanyama, halafu sura hio hio inasema Mungu kaumba wanyama kwanza :D :D :D ah shida ya maneno ya mtu kuamini yanatoka kwa mungu :D Pole....

wewe umesha pimwa na umeonekana Hamnazo
IMG_20180625_072549_061.jpg
Hii dhambi ambayo mnashahadia kila siku kwamba "ATAKALO MWENYEZI MUNGU HAWEZI NA NINYI NDIO WASHAURI WAKE!" Hii nawaona mko mtungo mnaelekea jehennam hata allah kwa kinywa cha baba kasimu hakuwaficha
IMG_20180701_173046_017.jpg
halafu cha ajabu mzee Wa busara akigeuka nyau mnaamini kwa asilimia 100% ilaha MWENYEZI MUNGU HAWEZI mnamlinganisha Mwenyezi na Babu yenu eeh laanatulah
 
wewe umesha pimwa na umeonekana Hamnazo View attachment 807789 Hii dhambi ambayo mnashahadia kila siku kwamba "ATAKALO MWENYEZI MUNGU HAWEZI NA NINYI NDIO WASHAURI WAKE!" Hii nawaona mko mtungo mnaelekea jehennam hata allah kwa kinywa cha baba kasimu hakuwaficha View attachment 807794 halafu cha ajabu mzee Wa busara akigeuka nyau mnaamini kwa asilimia 100% ilaha MWENYEZI MUNGU HAWEZI mnamlinganisha Mwenyezi na Babu yenu eeh laanatulah

Mungu wenu ana baba, na ana mama, na benet yake kuna shetani mtakatifu.... na kashindwa kujiokoa mwenyewe mpaka kaomba msaada kwa babake.

Mungu wetu sio kiumbe kilichoumbwa mpaka aweze kugeuka paka au mtu.... hio ni tabia ya majini kugeuka viumbe tofauti, na mnaemuabudu ni jini lililojigeuza kuwa yesu.... :D :D :D
 
Inang'anga'nia utajiwe mitume 124 wakati wewe unajidai kuwa paolo ametajwa, na umeshindwa kumtaja kwenye hio list na kutwambia yupo wapi. Na nimekwambia kwanini hawezi kuwemo kwenye hio list kwa sababu amekuja kuwafundisha kuwa kuna miungu mitatu na shetani mtakatifu, katika uislam hakuna miungu mitatu wala hakuna shetani mtakatifu. Misukule kapeleka kwa kakobe mumchangie sadaka akajiendeleze huku na nyie mkitolewa mapepo na vilema kuwa wazima eti :D :D

Picha yako ya ngurwe imenifurahisha kwa sababu ni nyama mnayoipenda huku bibilia ikiwa imewakataza, lakini ukiristo sio dini ni upupu kwaio haina haja kufuatwa....:D :D :D

Mungu wenu amekufa siku tatu, Mungu wenu amesulubiwa na viumbe vyake, Mapapa nao wanachagua alichokisema mungu kinachowapendeza wao. Nasubiri new version of bible, kikao lini mchungaji mgen? :D

wewe usie amini kwamba Paulo sio Mtume ni ujinga ulio kujaa kichwani na hujui kusoma allah amesha kwambia kawatuma Mitume 124 unabisha?? dalili zinaonyesha Paulo YUPO wapi rejea yako, yule mtoto Wa abd allah alipo Kufundisha na kukataa Paulo sio Mtume?? Kama picha ya mbuzi Katoliki unaipenda nakuwekea tena
get.gif
Mimi namla tena siachi kitu wewe na kutojua kusoma niwekee Ushahidi wa ayat Mimi mgen nisile nyama ya nguruwe!
 
wewe usie amini kwamba Paulo sio Mtume ni ujinga ulio kujaa kichwani na hujui kusoma allah amesha kwambia kawatuma Mitume 124 unabisha?? dalili zinaonyesha Paulo YUPO wapi rejea yako, yule mtoto Wa abd allah alipo Kufundisha na kukataa Paulo sio Mtume?? Kama picha ya mbuzi Katoliki unaipenda nakuwekea tena View attachment 807798 Mimi namla tena siachi kitu wewe na kutojua kusoma niwekee Ushahidi wa ayat Mimi mgen nisile nyama ya nguruwe!
Hahahahah.... Allah katuma mitume iende kufudisha kuwa hakuna apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa yeye tu, na yeye hafanani na kiumbe chochote, na hakuzaa wala hakuzaliwa. Sasa Paolo katumwa na Shetani mtakatifu aje awafundishe opposite na mitume 124, vipi tena awemo kwenye list ya mitume haliyakuwa kafundisha upupu wake na shetani? Ndio mana mnakula nguruwe apo :D :D :D Mtume wenu wa mashetani ndio mnaemfuata, sisi hatuwezi kumfuata shetani :D :D :D

Jumapili inakarbia mara hii utatumia bibilia ipi? :D
 
Usimzungumzie allah ambae biblia haimtambui. allah anajulikana na waarabu tu. Sasa huyo hakuna mtume hata mmoja ambaye ameshamzungumzia. Biblia inamzungumzia Niko, Jehova, Elshadi, Mungu Mwenye Nguvu. Yesu Kristo wa Nazareti
 
Onesha wapi? Mungu wa Quran hakuna mahala ametwambia tumtambue Yesu kuwa ni mungu, ukinionesha naritadi sasa ivi... Na vile vile, unachonishangaza kama bibilia yenu kujigonga gonga, sio wewe uliesema kuwa Isa wa Quran sio yesu na humkuti kwenye bibilia? :D :D sasa hio aya vipi inakuwa reference kwa yesu wenu wakati Quran inamzungumzia Issa ibn Maryam ambae hakusulibiwa msalabani? wa kwenu si alisubulubiwa? Na isitoshe vitabu ambavo Allah amevishusha, katwambia kama taurat, injil, zaburi, Quran. Taurat Kashushiwa Mussa, Injil Issa, Zaburi Daud, na Quran Muhammad. Sasa wewe umeona wapi Quran imetwambia tufate Injil ya Matayo na yohana? :D

Ujinga ujinga tu na tatizo lako kama alivyo sema allah
IMG_20180625_072549_061.jpg
hivyo vitabu alivyo vishusha allah viko wapi? vimeshukia wapi? allah alimkabidhi nani? Tuanzie hapo ili ning'amue maradhi yako nipate kujua daawa sahihi ya kukutibu
 
Usimzungumzie allah ambae biblia haimtambui. allah anajulikana na waarabu tu. Sasa huyo hakuna mtume hata mmoja ambaye ameshamzungumzia. Biblia inamzungumzia Niko, Jehova, Elshadi, Mungu Mwenye Nguvu. Yesu Kristo wa Nazareti
Naona bado unajigonga gonga tu :D mana wewe umeanza kuzungumzia Quran, Allah, Issa, halafu saivi unajipinga. Sasa hoja yako ni ipi? au ndo tuseme umedandia treni kwa mbele? Jehova ni Mtume au Mungu? maana nawasikia mnasema mungu jehova..... :O huijui Quran wala huijui mitume ilotajwa nakushauri ukae pembeni mana bado hujajua nini unataka kuongea hasa.

Hata Quran haimtambui Yesu alosulubiwa, wala haitambui kama Mungu ni mwanadamu, wala haitambui kama mungu anazaliwa... Quran inatambua kuwa kuna Injil alioshushiwa issa, ila haitambui injil ya kina mattayo, na kinachotufanya tuzidi kuwaona hamnazo, mnatumia bibilia nyingi ambazo mnakaa kitako na kuchagua lipi mnakubaliana nalo na lipi hamkubaliani nalo, akisha mnakuja kutwambia bibilia imetoka kwa mungu :D :D maneno ya mungu unachagua lipi kukubali na lipi ukatae?
 
Back
Top Bottom