mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,110
- 21,657
Aleppo wadhibitiwa kabisa na serikali ya Syria
Sambaza habari hii
Aleppo wadhibitiwa kabisa na serikali ya Syria - BBC Swahili
Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
Image copyright AFP
Image caption Baadhi ya watu walikuwa wakisherehekea mjini Aleppo
Jeshi la Syria, limesema kuwa limechukua kabisa udhibiti wa mji wa Aleppo, baada ya kundi la mwisho la waasi kuondolewa kutoka mji huo, ulioharibiwa kabisa na vita.
Runinga ya taifa, imeonesha umati wa watu wakipeperusha bendera ya taifa hilo huku wakipaza sauti zao za kumuunga mkono Rais wa Syria Bashar al Asaad.
Ni ushindi mkubwa mno baada ya miaka sita ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe.
Takriban watu 34,000 na wapiganaja waasi wameondolewa kutoka eneo la mashariki mwa Aleppo wiki moja iliyopita.
Mapigano yaisha Mashariki mwa Aleppo
Maelfu ya watu wapelekwa sehemu salama Aleppo
Theluji kubwa, upepo mkali na hali mbaya ya barabara vimetatiza shughuli za kuwahamisha watu, hali ambayo imewalazimu maelfu ya watu kusubiri kwa saa nyingi.
Watu wanaohamishwa kutoka mashariki mwa Aleppo, hupelekwa eneo linalodhibitiwa na waasi magharibi mwa mji na mkoa wa Idlib.
Kama sehemu ya makubaliano kati ya Urusi na Uturuki, watu walio kwenye miji inayodhibitiwa na serikali ya Foah na Kafraya iliyo mkoa wa Idlib, unaozingirwa na waasi nao wameondolewa.
Yasser al-Youssef, wa kundi la waasi la Nureddin al-Zinki, alisema kuwa kutwaliwa kwa mji wa Aleppo ni pigo kubwa.
Image copyright AFP
Image caption Zaidi ya watu 34,000 wamehamishwa tangu Alhamisi iliyopita
- 23 Disemba 2016
Sambaza habari hii
Email
Sambaza habari hii Email
Facebook
Sambaza habari hii Facebook
Messenger
Sambaza habari hii Messenger
Messenger
Sambaza habari hii Messenger
Twitter
Sambaza habari hii Twitter
WhatsApp
Sambaza habari hii WhatsApp