kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,878
Wakati benki ya CRDB inavamiwa, nikapiga
112
nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLISI
TANZANIA KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili
press 1 for english press 2,
nikabonyeza 1,
sauti ikasema kwa ajali za barabarani au
moto bonyeza 1, kwa ujambazi bonyeza 2,
nikabonyeza 2, sauti ikasema: kama
majambazi wana rungu, panga na visu
bonyeza 1,
pistol bonyeza 2,
SMG 3,
AK 47 bonyeza 4,
bomu 5,
kama wanavyo vyote bonyeza 6,
nikabonyeza 6.
Sauti ikasema mmh! Ndugu
yangu ungekuwa wewe ni polisi ungeenda
kweli?
112
nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLISI
TANZANIA KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili
press 1 for english press 2,
nikabonyeza 1,
sauti ikasema kwa ajali za barabarani au
moto bonyeza 1, kwa ujambazi bonyeza 2,
nikabonyeza 2, sauti ikasema: kama
majambazi wana rungu, panga na visu
bonyeza 1,
pistol bonyeza 2,
SMG 3,
AK 47 bonyeza 4,
bomu 5,
kama wanavyo vyote bonyeza 6,
nikabonyeza 6.
Sauti ikasema mmh! Ndugu
yangu ungekuwa wewe ni polisi ungeenda
kweli?