Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Polisi naona wanajidai wenyewe kwamba wamewadhibiti. Ila hawa jamaa
Tarehe 15 Septemba, 2025 majira ya asubuhi eneo Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati mashauri mbalimbali yakiendelea, lilijitokeza kundi la Wanachama wa CHADEMA baada ya ukumbi uliokuwa unatumiwa kwenye kesi ya Tundu Lissu kujaa na hivyo baadhi ya wafuasi hao waliokuwa nje ya Mahakama walianzisha fujo na kujaribu kuwashambulia askari ambao walijilazimisha na kutuliza fujo hizo haraka.
Jeshi la Polisi linatoa wito kuwa kitendo chochote cha kuwachokoza askari kitashughulikiwa haraka na kuyarejesha mazingira ya usalama kwenye eneo husika haraka kwa kadiri inavyowezekana.