Jeshi la polisi: Special thread

monde arabe

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
8,487
13,018
Habar ndugu wanabodi

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,sote tunajua wajibu wa jeshi la polisi kuwa ni kulinda au kuangalia usalama wa raia na mali zao lkn,kwa polisi wa Bongo mambo ni tofauti sana kwa kuwa jeshi la polisi kwa hapa Bongo ni kulinda tabaka tawala na wenye nacho huku wakiamini kipigo ndyo suluhisho pekee la kudumisha ulinzi na usalama

Monde arabe, nimeamua kuja na uzi maalum wa hawa manjagu,mapongo,mamwela,wazee a.k.a maafande na visa vyao (huu ni uzi maalum kwaajili ya visa au matukio ambayo watu wamewahi kutendewa na askari polisi)

Mimi naanza na tukio hili nililowahi kutendewa na maasikari wa kituo cha Polisi Kawe Dsm kisa kiko hivi;

Niliibiwa cm na vbaka wa Mwenge nikaenda kutoa taarifa kituo cha polisi Kawe lkn,yaliyonikuta ni majuto makubwa sana cuz kila nilipokuwa naenda kufatilia upelelezi umefikia wapi nilikuwa naombwa fedha wakati mwingine nilikuwa nalazimishwa kuwanunulia supu kwenye bar moja opposite na kituo cha polisi Kawe

Mpaka hivi leo huwa sitaki kabisa kusikia habar za maafande...ni wasenge sana na hawana utu hata kidogo
Endeleeni ku-share visa vya hawa watu katili na wenye laana ktk uso wa Dunia (hapa ni visa vya askari wote polisi wa kawaida,maasikari magereza na traffic)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom