Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
ukiwa unatowa hoja nzito usiingize mambo ya chadema hoja yako inaonekana haina mantiki maana chadema ni kundi la matusi
Umeji.contradict. Kiufupi umesema tatizo sio Jeshi la Polisi, ila ni Viongozi wa Jeshi la Polisi (ambao nao wamo katika Jeshi la Polisi)Binafsi sidhani kama kulichunguza JESHI la POLISI kutaleta Ufumbuzi wa Matatizo yanayolalamikiwa na Wananchi.
Tatizo la Jeshi la POLISI ni VIONGOZI WAKE.Viongozi wa JESHI la POLISI Hawana Weledi,Uadilifu ktk Utendaji Kazi
Akili tope hutoa tope daimaukiwa unatowa hoja nzito usiingize mambo ya chadema hoja yako inaonekana haina mantiki maana chadema ni kundi la matusi
Udogo wa AKILI zako ndio unakuponza Azima Akili za jirani yakoukiwa unatowa hoja nzito usiingize mambo ya chadema hoja yako inaonekana haina mantiki maana chadema ni kundi la matusi
Siku wakikubananisha ndio utajua ni Jeshi au ni Kiongozi aliyekubananishaEti tatiZo sio jeshi la polisi ila ni viongozi halafu bado huoni kuwa jeshi la polisi ni tatizo.
Ukapimwe sio bure.
Haliwezi fumuliwa hilokama walikulindia uchaguzi ule utawafanya nini?
Kukubali kwamba tatizo ni jeshi zima ni kama kuamua kichoma shamba zima la mahindi kwa sababu kuna nyoka kaingia humo,hasara ni 100×.Umeji.contradict. Kiufupi umesema tatizo sio Jeshi la Polisi, ila ni Viongozi wa Jeshi la Polisi (ambao nao wamo katika Jeshi la Polisi)