Its Tesha
Senior Member
- Oct 6, 2025
- 168
- 604
Nipo hapa kuthibitisha kuwa Jeshi la Polisi nchini chini ya IGP Wambura ndio wanaowaua watu na kuwateka kwa sababu hakuna wakenya wala waganda watakaokuja kuua watu katika taifa letu. Asipoatikana John Heche itakuwa ni aibu kwa taifa haiwezekana mtanzania anachukuliwa mbele ya macho ya watu Elfu 60 kwani inashindikana nini kusema kuwa Heche yupo sehemu fulani whats wrong police!!!!!
Polisi!!!!Polisii!!! mnakera sana.
Polisi!!!!Polisii!!! mnakera sana.