Ole wao tusikie ccm wanafanya mikutano ya ndani watajutaHabari wanaJF,
Jeshi la Polisi lapiga marufuku vikao vyote vya ndani vya vyama vya siasa. Marufuku hii ni kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini.
Kauli ya marufuku inasema ifuatavyo:
"Mikutano ya ndani inatumika kuhamasisha watu kuvunja sheria za nchi na kupambana na Askari kuanzia leo jeshi la polisi linapiga marufuku mikutano ya ndani pia".
Je kuna uhusiano na tukio la mbande? Maana ile Vaa ya Lameck ni kama mtu aliyekuwa kajiandaa kwa tukio fulani kubwa! Usiku kama ule na jambo la dharura kama lile lakini mwana katokedhea na gwanda jipya kabisa na buti na kofia(kasoro kibandiko cha rank)Habari wanaJF,
Jeshi la Polisi lapiga marufuku vikao vyote vya ndani vya vyama vya siasa. Marufuku hii ni kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini.
Kauli ya marufuku inasema ifuatavyo:
"Mikutano ya ndani inatumika kuhamasisha watu kuvunja sheria za nchi na kupambana na Askari kuanzia leo jeshi la polisi linapiga marufuku mikutano ya ndani pia".
Mwaka jana na awamu zilizopita kulikuwa na vikao kama hivi lakiniToka vikao vya ndani vya CHADEMA vianze MATUKIO YA UHALIFU YAMEONGEZEKA tofauti na kipindi kabla ya vikao hivyo
Alishajua nini kitatokea.Je kuna uhusiano na tukio la mbande? Maana ile Vaa ya Lameck ni kama mtu aliyekuwa kajiandaa kwa tukio fulani kubwa! Usiku kama ule na jambo la dharura kama lile lakini mwana katokedhea na gwanda jipya kabisa na buti na kofia(kasoro kibandiko cha rank)
Halafu usiku ule ule akatupia mtandaoni
wameshaanza kupasiliwa vichwaKwa nini wanakuwa waoga kiasi hiki?
Mwaka jana na awamu zilizopita kulikuwa na vikao kama hivi lakini