Jeshi la Polisi lapiga marufuku mikutano yote ya ndani na nje ya vyama vya siasa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,470
2,000
Habari wanaJF,

Jeshi la Polisi lapiga marufuku vikao vyote vya ndani vya vyama vya siasa.
Marufuku hii ni kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini.

Kauli ya marufuku inasema ifuatavyo:

"Mikutano ya ndani inatumika kuhamasisha watu kuvunja sheria za nchi na kupambana na Askari kuanzia leo jeshi la polisi linapiga marufuku mikutano ya ndani pia".

=========
UPDATES:

Kamishna Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Nsato Marijan asema tukio la mauaji ya Askari 4 Mbande jana usiku linahusishwa na UKUTA.

Ameleza kuwa viongozi wa kisiasa kwenye majukwaa wamekuwa wakiwataka wafuasi wao kuwashambuliao Maafisa wa Jeshi la Polisi.

Aidha, amekiri kuwa mazoezi yanayofanywa na Jeshi la Polisi ni kukabiliana na UKUTA na mikutano au vikao yenye mrengo wa kichochezi.
 
mboamboa

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
236
250
Habari wanaJF,

Jeshi la Polisi lapiga marufuku vikao vyote vya ndani vya vyama vya siasa.
Marufuku hii ni kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini.

Kauli ya marufuku inasema ifuatavyo:

"Mikutano ya ndani inatumika kuhamasisha watu kuvunja sheria za nchi na kupambana na Askari kuanzia leo jeshi la polisi linapiga marufuku mikutano ya ndani pia".
Ole wao tusikie ccm wanafanya mikutano ya ndani watajuta
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
138,924
2,000
Habari wanaJF,

Jeshi la Polisi lapiga marufuku vikao vyote vya ndani vya vyama vya siasa.
Marufuku hii ni kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini.

Kauli ya marufuku inasema ifuatavyo:

"Mikutano ya ndani inatumika kuhamasisha watu kuvunja sheria za nchi na kupambana na Askari kuanzia leo jeshi la polisi linapiga marufuku mikutano ya ndani pia".
Je kuna uhusiano na tukio la mbande? Maana ile Vaa ya Lameck ni kama mtu aliyekuwa kajiandaa kwa tukio fulani kubwa! Usiku kama ule na jambo la dharura kama lile lakini mwana katokedhea na gwanda jipya kabisa na buti na kofia(kasoro kibandiko cha rank)
Halafu usiku ule ule akatupia mtandaoni
 
Top Bottom