Jeshi la Polisi lapekua ofisi ya CHADEMA Makao Makuu!

Taarifa nilizopata muda huu
tukio likiwa linaendelea zinaeleza kwamba Jeshi la Polisi limeingia
Ofisi za CHADEMA Makao Makuu Muda Huu Jumapili ya leo, na Lwakatare...
Wanaendelea na Upekuzi...

Wenye Ofisi Hawapo, Wapo Walinzi Tu!!

well done polisi. keep it up mpaka kieleweke
 
Walishasema hao jamaa hivi sasa hawataki mchezo.Ni utii bila shuruti mwanzo mwisho.

ujui hata maana ya utii bila shuruti!naona unachomeka kila neno linalo kujia kwenye kichwa hata kama haliendani na mada!
Poor you!
 
EVEN THOUGH I AM CHADEMA,TENA PRO-CHADEMA HASWA YULE MTOKWA MAPOVU PALE NAPOKIONA CHAMA CHANGU KINAHUJUMIWA,ILA KWA HILI LA LWAKATARE UNTIL NOW I AM (N.A.M),,NON ALIGNED MOVEMENT BETWEEN THESE TWO SIDES,

MY PARTY CHADEMA AND THEIR PARTY(POLICCM),,

i am keeping my eyes wide open enough without even blinking hadi kieleweke,then nitafanya hukumu yangu,

kwa chochote kile kitachotokea bado sijaona uhalali wa kuendelea kuibakiza CCM Madarakan,

CCM Imenidhulumu mengi sana,kwa ufupi kuna interpersonal conflict between me and POLICCM..

ITAKE ISITAKE CCM LAZIMA IFE TUH,MARK MY WORDS..

swaga sana.jpg

HICHO NDICHO KIFO CHAO MAFISADI WAKUBWA HAWA,
 
ndugu yangu

Ramadhani Ighondu wa Dr ulimboka, wezi wa epa, Ustadh Ilunga na Lwakatale kama ungepanga mtiririko wa matokeo ya

uhalifu namba moja ni lipi? Nisiiamini wewe ni mmota wa wahitimu wa form 1v mwaka 2012 matokeyo mabaya kabisa.

tupangie mtiririko wa hayo matukio lipi lilianza kama namba moja..... tuone kwamba wewe sio kilaza ila mkali flani vile!
Kama utakua na kumbu kumbu nzuli ni kua mikutano yote aliyo fanya shekh Ilunga ya kuzunguka nchi nzima alikua na kibali cha serkali kilicho ruhusuhusu mutano hiyo. Hakupanga mikakati ya kutishia uhai wa mtu wala amani ya nchi. Lakini tukirudi katika clip ya Lwakatale ni imejaa uhasama na kutishia uhai wa waandishi wa habar kama kibanda etc. Sasa nani gaidi hapo? Usiongozwe na fikra kiza weweee!
 
sasa wanatafuta nini camera iliyotumika?kwani huo ushahidi walionao hauwatoshi?tatizo wanajibu sasa wanatafutia swali.na mbona kova alisema suala la LWAKATARE halikihusu chama?sasa huko wanaenda kutafuta nini?hawa watu bana ovyoooo

Hizo ni dalili za mfa maji, siku zote mfa maji haishi kutapatapa, hata akiona jani linakatiza atalidaka tu akijua linamuokoa. Na hapo ndo ccm ilipofikia sasa hivi, kwasababu kinaelekea kufa basi itafanya kila kitu hata kama ni cha kijinga ili kujiokoa lakini siku ya kufa nyani miti yote huteleza, ndo linalotokea sasa kila mti wanaojaribu kuukweo unateleza. 2015 maziko, kaburi washajichimbia wenyewe
 
Mkuu, Wahusika gani unataka wakati mleta uzi amesema wako na Lwakatare. Lwakatare pia ni mhusika wa ofisi. Kwani yeye ofisi yake ilikuwa wapi kama siyo kwenye hilo jengo la ofisi.

Swali la msingi ni, search warrant imetolewa?

Kumbuka polisi wanapambana na wanasheria wazuri sana wa CHADEMA, kwa hiyo kwa sasa kila kitu wanachokifanya lazima wanakuwa wamekifanyia homework.

Chifu, kama ndivyo, kwa nini polisi imekiuka sheria ya raia kuweka rumande kwa masaa 24? Lwakatare amekuwa rumande kwa zaidi ya masaa 24; alipaswa awe ameshapelekwa mahakamani! Sasa huo umakini wa polisi upo wapi kama siyo ubabe na uvunjaji wa sheria za JMT?!
 
Kama utakua na kumbu kumbu nzuli ni kua mikutano yote aliyo fanya shekh Ilunga ya kuzunguka nchi nzima alikua na kibali cha serkali kilicho ruhusuhusu mutano hiyo. Hakupanga mikakati ya kutishia uhai wa mtu wala amani ya nchi. Lakini tukirudi katika clip ya Lwakatale ni imejaa uhasama na kutishia uhai wa waandishi wa habar kama kibanda etc. Sasa nani gaidi hapo? Usiongozwe na fikra kiza weweee!

Gaidi nj wewe na sheikh wako illunga aliyeamuru watu wawaue viongozi wa dini ya kikristo waziwazi na hadi leo anadunda uraiani. Huyu alitakiwa awe ameshanyea debe siku mingi sana.
 
Taarifa nilizopata muda huu tukio likiwa linaendelea zinaeleza kwamba Jeshi la Polisi limeingia Ofisi za CHADEMA Makao Makuu Muda Huu Jumapili ya leo, na Lwakatare... Wanaendelea na Upekuzi...

Wenye Ofisi Hawapo, Wapo Walinzi Tu!!

Polisi wamefanya makosa makubwa hatua za awali katika upelelezi
Polisi wenye uzoefu wangeanzia na kumfuatilia aliyeweka hiyo movie kwenye mitandao aeleze aliipataje, na ndiye mwenye jibu kamili. Rwekatare angekuja kushikwa baada ya mtoa ushuhuda aliyeweka hiyo movie kuthibitisha chanzo cha movie hiyo, huo ndio ufundi wa vyombo vya upelelezi uliotukuka katika upelelezi vinginevyo nikitandawili.

Sina maana ya kumtetea Rwekatare, lakini suala zima katika kesi hii kuna kasoro nyingi mno za kisheria, kiufundi katika upelelezi na mengine mengi, pengine polisi kwa kiherehere chao walichofanya wameshaharibu chanzo kikuu cha kupatikana ukweli katika kesi hii kwani wahusika watakuwa wameshatafuta mbinu ya kujificha.
Weledi ulikuwa wataalamu wa upelelezi huanza na chanzo cha tukio kwanza badala ya hatua waliyochukua polisi kuanzia matawi badala ya shina.

Tamko la Makamu Katibu Mkuu CCM Bara, Mwigulu Mchemba zimechelewa kuchukuliwa alipotangaza kwamba anazo movie hizo, na leo wanakuja na mpya wakati hatua za awali ambazo zingesaidia katika upelelezi zimekiukwa.


Mbaya zaidi movie inaonekana kurekodiwa muda mrefu lakini imekuja kutundikwa baada ya tukio la Mwandishi Kibanda, kuna kila dalili ya wale wale waliomteka na kumtesa Kibanda ndio waliotundika movie hiyo mitandaoni. Wanatakiwa wasakwe na watoe maelezo walikopata movie hiyo na kuwa mashahidi wa kwanza katika kesi hii.
 
majambazi lazima tuyatafute kila kona jk kazi yako ya kwanza ni kutupa amani.kamata wote weka ndani
 
Back
Top Bottom