Jeshi la Polisi laongezewa nguvu! UKAWA tutapona kweli!

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
767
677
Habari wakubwa! jana nilikuwa moshi maeneo ya CCP, kuna Askari 3904 wamemaliza mafunzo na wameingia mtaani..

Kwa jinsi intellejensia yao ilivyo kali hasa kwenye kudhibiti UKAWA na ukizingatia agizo la mwenye kaya..sioni mbele aisee..tutanyoka aisee.

Mbaya zaidi Mwigulu ndiye kayafunga..sioni mbele jamani.
Screenshot_2016-06-25-12-54-30.jpeg
 
Mbona hapo Kuna vitengo vingine mfana uhamiaji , polisi , etc but usiogope kuwa na amani siasa za sasa zinazopigwa ni za kisasa hazihitaji nguvu.
 
Siku zote wanasema siasa ni mahesabu na kama hujui hesabu usifanye siasa
Kama kweli ccm wanaijua hesabu ya kisiasa vizuri.
Na ninajua wanafanya hivyo ili wenyewe waonekane ndio wanasiasa bora kabisa. Kuwazidi ukawa lakini mm nitaendelea kuamini kuwa ukawa ndio wanasiasa bora kabisa tanzania.

Na nataka kujua ccm toka waanze kufanya ubabe kwa ukawa wamepata nini kutoka kwa wananchi? na ni kitu gani cha maana kilicho ongezeka ccm?
Au huyo anaye watuma ni kinini kilicho ongezeka kwenye maisha yake?
 
Mwigulu una mtihani mkubwa wizara hii.. Masha alikuwa waziri wa mambo ya ndani leo yupo Chadema!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom