Jeshi la Polisi Lafanikiwa Kukusanya Bilioni 29.

Jeshi la Polisi Lafanikiwa Kukusanya Bilioni 29.

Polisi wa nchi zingine wanajivunia kupungua kwa makosa ya barabarani huku kwetu tunajivunia kuongezeka kwa makosa ya barabarani kisa mapato.
JPM ANAHARIBU NCHI KWA KUGAWA MALENGO MAKUBWA KWA KILA TAASISI NA VITENGO VYA SERIKALI YAKE BILA KUJALI JAMII ITAATHIRIKAJE?
ANAWAPA malengo makubwa ya makusanyo TRA then anashangazwa biashara kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda tunaona wimbi kubwa Sana la wageni hasa kwenye social centres zenye watu wenye Hali nzuri.

Ingebidi uhamiaji au police muwe mnafanya raid kwenye baa za oysterbay na masaki Kuna wanaigeria na wageni wengineo wengi Sana. Kuna Aina Fulani ya wahindi wako Kama wachina wameongezeka Sana.

Hizi Chinese restaurants zimejaa wachina wanalewa tu na kamari muda wore Happ regent mikocheni.

Slipway Yale maeneo ya Thai Kani restaurant Kuna wasudani,wanaijeria, wakenya nao. Tunahitaji wageni lakini wake kwa utaratibu. Supermarkets ni sehemu nzuri ya random check ya kugundua foreigners wazugaji.

Haya makanisa yanayochipua mengi nayo yanaendeshwa na wageni Hapo Boko chasimba Kuna jumba linajulikana kabisa ni la mnaijeria.

Kwemye mahoteli pia na maguest house si vibaya mkafaya raids kutambua uwepo wa immigrants.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi makusanyo na kutangaza ni kazi yake?

Sent from my SM using Tapatalk
Hahaha nadhani kunatishio la kupunguza ukubwa wa jeshi, hivyo ana jaribu ku justfy umuhimu wao kwenye kuongeza pato la taifa, au kuonyesha kwamba jeshi linaweza kujiendesha kwa makusanyo yake lenyewe.
 
Hahaha utajiumiza bure, viongozi wetu wanasema wanaanda mazingira mazuri kwa ajili ya wawekezaji na watalii, sio kwa ajili ya mwananchi.
Pili wao wanayaka kuhamia Dodoma hao foreigners watawaachia hiyo Oystebay na Masaki.
Tatu tuna upungufu wa pesa ya kigeni hao uliowaona wame change dollar zao ,sasa wanatumia madafu sana kulainisha vyuma.
Ndio watalii na wawekezaji hao, tunaowaandalia mazingira mazuri. Wazoee tu.
 
Nikiwa natokea kinondoni pale Salenda kwenye taa eti Police ananiambia nimevuka taa nyekundu tena bila aibu.

Taa ilikuwa kijani; ile navuka tu line taa ya njano ikawaka nikaendelea sababu siwezi kusimama ila inaniashiria nivuke maana nipo katikati.

Tulibishana sana na yule askari kwamba ni sheria gani inayosema nisimame kwenye taa ya njano? tena mbele ya mstari? maana taa ya njano imewaka nikiwa nishavuka mstari.

Jamaa likakomaa eti twende mahakamani; tulikuwa tunatoka safari ndefu watoto wamechoka sana nikaliambia liandike tu niwahi home watoto wakapumzike.

Hawa jamaa wanalazimisha makosa sababu wanajua huwezi kwenda mahakamani usumbufu.

Mungu anawaona.

Ndiyo walivyo hasa huyu mmoja wao anayetumia username fake humu jamvini kama 'kantalambaz'.

Roho zao mbaya kila uchao wanahimiza kuombewa na mnaombewa kwelikweli. Moja ya sala na swala hizo ni kama hizo - Mungu ana waona.
 
Mburula mazako, sasa umerudi kufanya nini TZ wewe kalumakenge.

Sent using Jamii Forums mobile app

Maza wangu kakukosea nini polisi trafiki mmbambikia kesi wewe usiyejua hata pesa halali inatengenezwa vipi zaidi ya kubambikizia watu kesi?

Ndiyo maana maisha yanawashinda kila mnapopigwa chini.

Si haba kujua siku zenu ni numbered. Mgombea atakaye kuja na sera zenye kutambua huu udwalimu wenu katika ngazi yoyote hatakuwa chaguo la wachache.

Kwani lini muda uliacha kusema?
 
Ati ‘lafanikiwa’? Kwani jeshi la polisi ni TRA?
Hiyo ni aibu kwamba wameshindwa kutoa elimu ya usalama barabarani. Ajabu hii kwao ni sifa!

Hata hivyo 3/4 ya mapato hayo ni makosa ya kubambikiwa.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kwa kweli siku hizi makosa ya barabarani umekuwa ni mtaji kwa nchi nyingi duniani.

Sio tu nyumbani hata Ulaya wanaongoza kwa kukusanya na faini ni kubwa mno kiasi ambacho siku hizi kuna kosa la speed tu unapewa faini ya £1000 sawa na 3m ya tz

Yaani huku ni mwendo wa heshima barabarani kama umeolewa na police hahaha

Sent from my SM using Tapatalk
Tatizo watanzania wengi hawana uelewa wa mambo mengi kwa nchi za wenzetu, faini za Ulaya zingekuwa huku hakuna hata mmoja angeendesha gari barabarani.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam Lazaro Mambosasa amebainisha kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja Jeshi hilo limefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 29, zilizotokana na makosa mbalimbali ya usalama barabarani ambayo watuhumiwa wake walikiri kufanya.View attachment 982306

Mambosasa ameyasema hayo leo Desemba 31, 2018, Jijini Dar es salaam wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa jeshi hilo na mafanikio yake katika kipindi cha mwaka mmoja.

"Kipindi cha mwaka mmoja fedha tulizofanikiwa kukusanya ni bilioni 29, kwa watuhumiwa wa makosa ya kukamatwa kwa vyombo vya usafiri na wenyewe wakakiri kufanya makosa hayo".

Aidha Kamanda Mambosasa ameogeza, "naomba wadau tushirikiane kwa pamoja kuhusu wahamiaji haramu, kwa hapa DSM kuna wimbi kubwa la matapeli ambao ni raia wa kigeni na wanafanya uhalifu, hili eneo si la kufumbiwa macho, unakuta mstaafu katoka kuchukua kiinua mgongo, anatapeliwa".

"Wanachi wanaumizwa kweli mmoja hapo chini kuna mstaafu ametapeliwa milioni 120, na mnigeria ambaye ameingia nchini na anaishi bila kibali."

Katika hatua nyingine Kamanda Mambosasa amewaonya wananchi watakaosherehekea mkesha wa mwaka mpya kwa kufyatua mafataki badala yake ametoa dakika 5 kwa watakaotaka kufanya tukio hilo kuanzia saa 6 kamili usiku hadi saa 6.05 usiku.

Kataja malengo ya makusanyo kwa 2019?
 
Tatizo watanzania wengi hawana uelewa wa mambo mengi kwa nchi za wenzetu, faini za Ulaya zingekuwa huku hakuna hata mmoja angeendesha gari barabarani.

Mkuu una uhakika na ulichoandika? Mbona wengi tu walioendesha huko unakosema wanashangazwa na yanayoendelea huku? Fanya kajiutafiti kidogo hutachelewa kutambua kuwa kwetu pako fyongo mno na ni full uonevu kwa kwenda mbele.
 
Dah hii ni hatari sana sana. Kuona jeshi la polisi limegeuka kitengo cha kukusanya mapato badala ya kuzuia uharifu na kuwalinda wananchi ni hatari sana. Huyu Mambosasa ajitafakari kazi ni zipi na taarifa ipi walipaswa kuwapa watanzania waishio dsm. Yaani hii ndio taarifa ya utekelezaji? Kwahiyo mlipewa kazi ya kukusanya mapato?
Ndio maana siku hizi uonevu umezidi barabarani kumbe ni utekelezaji wa maagizo.....basi sawa kazi zenu kubwa Tz ni 2 tu.
1. Kukusanya mapato kwa ajili ya serikali
2. Kuisaidia ccm kuendelea kubakia madarakani na kuwasaidia kufanya siasa.
 
Hahaha nadhani kunatishio la kupunguza ukubwa wa jeshi, hivyo ana jaribu ku justfy umuhimu wao kwenye kuongeza pato la taifa, au kuonyesha kwamba jeshi linaweza kujiendesha kwa makusanyo yake lenyewe.
Na kweli tutaona kila rangi

Sent from my SM using Tapatalk
 
Ni viroja kila siku
Maana tumeambiwa tufanye kazi na hiyo nayo ni kazi hahaha

Sent from my SM using Tapatalk
Haileti maana jeshi la polisi kila siku press conference wanaanza kuongea hadi visivyo wahusu. Wao wanapaswa kuonekana kama kuna uhalifu, sio kila siku as if tuko vitani.
 
Back
Top Bottom