FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 322
Kikwete mwenyewe keshasema siku za Kanumba zilishafika, kifo ilikuwa inatafuta sababu tu
kweli kabisa mkuu police nchi hii ni zero zero kabisa!!!!! hawana tofauti na wanojiita eti usalam wa taifa. jwt nawakubari sana!!Hakuna polisi Tz. Kuna genge la wazee wa baraza wanaojiita polisi. Jaribu siku zote fuatilia statement zao katika matukio mbali mbali ni mkanganyo mtupu. Sema bahati nchi yetu kuna raia walokole. Ingelikuwa ni kama S. Africa na aina ya police tulio nao, vibaka wangeenda kuinjua msosi wa mkuu wa kaya pale ikulu na kuula wao.
.
kwani ukimnywa jack d, huwezi kulewa ukayumba/sukumwa ukagonga kichwa ukafa????????????????????
Halafu unadhani kwenye mahojiano hawa wasanii wanasemaga ukweli? Unakumbuka wema alisema hana boyfriend akapata skendo ya kutembea na mume wa mtu? Usiamini sana mahojiano.....
Hata kama angekuwa amekunywa pombe, namna polisi wanavyofanya kazi hairidhishi. Lakini jeshi pia linaathiriwa na mfumo wa uongozi wa kisiasa. Kama viongozi wa kisiasa wanayapa kipaombele mambo ya kulinda maslahi ya wanasiasa, polisi watapata wapi ari ya kulinda wananchi?