Jeshi la pilisi mpo wapi

Jeshi la pilisi mpo wapi

We charger c nimekwambia nimambo ya cm za tachi salsa mbona udukuzi unaendelea Ntalia kama mheshimiwa nanihiii

Tangu asikie mwenzie kapandishwa cheo kwa kukaa kwenye mvua basi na yeye ndio kajiwekea malengo ie mwaka huu usipite.
 
Haya ni mazingira magumu ya kazi.si kweli kuwa kunyeshewa na mvua ni sehemu ya kazi ya polisi.na ni mambo haya yanayosababisha watumishi kutokuwa waadilifu kwa sababu wanaona hawajaliwi

Ili wasinyeshewe na mvua napendekeza wajenge vibanda ya kuongozea magari barabarani.
 
Hahahaha teh teh teh hao jamaa siku izi wamekuwa kama kuku wa kienyeji yaani ukiwaangalia hata mguuni kila mtu na kiatu chake yaani wao hupewa suruali na shati tu vilivyobaki wajitafutie. Ndiyo maana jamaa hana koti la mvua hata mkanda wake umechoka inawezekana tokea apewe alipokuwa ccp miaka ya sabini. Nahisi serikali yao kama imewasahau. Teh teh teh teh ila kazi zingine mmh si hata zakukimbilia maana nipo namtoto wa darasa la kwanza kananiambia ile kaz mbaya askari kalowa anatetemeka baridi kama kandege
 
Hiyo ndo maana ya kamanda. Huyo tumemuona na bado wote wanatakiwa kufanya hivyo bila kutegemea milioni mbili 2m/=
 
Mpe Koti Haraka Wewe Si Mzalendo Hata Kdoooogo........ Mpe Koti Maanaake Ni Hatari Kwa Muonekano Wake
 
Ukitaka kujuwa ananyeshewa au la kamvue kofia uone kichomo ndani yake we unateseka unamwonea huruma anayekula raha

Kiongozi sijakusoma, kwenye kofia kuna kitu gani?
 
Back
Top Bottom