mimi nahisi amesahau koti nyumbani, kwa sababu sifikirii hata kidogo kwamba jeshi la polisi haligawi makoti ya mvua kwa askari wake. kwa hiyo mimi kwa maoni yangu pamoja na kumuona huyu kama mchapa kazi lakini ni mzembe wa kusahau vitendea kazi kwa hiyo analitia aibu jeshi la polisi. nashauri aitwe na viongozi wake na kupewa onyo dogo tu la kawaida la mdomo.Haya ni mazingira magumu ya kazi.si kweli kuwa kunyeshewa na mvua ni sehemu ya kazi ya polisi.na ni mambo haya yanayosababisha watumishi kutokuwa waadilifu kwa sababu wanaona hawajaliwi
Salsa ndo nn aisee.mbona leo michapio mingi sana,au mvua imeingia ndani?We charger c nimekwambia nimambo ya cm za tachi salsa mbona udukuzi unaendelea Ntalia kama mheshimiwa nanihiii