Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,652
- 7,141
Kule Gereza la Kalanga Moshi- Magereza ina Kiwanda cha kisasa cha Viatu, na Morogoro gereza la Mahabusu pale Moro mjini kuna kiwanda cha Matofali, Kwenye Gereza la Songwe Gereza limezungukwa na Madini .Pale Kingorowila Gereza la Wanawake wana kiwanda cha ushonaji.Kazi sio Kulima tu. Dar wanatumika kufanya Usafi kwenye ofisi za Serikali n.kKumbuka sio kila geleza lipo sehemu yenye kilimo, mfano ukonga wanaenda kulipa wapi ??