Jeshi la Kuezeka

Mkuu mbona umejenga porini hakuna hata majirani
 
Safi sana kiongozi. Kanyaga twende.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kawaida huwa anakuja fundi mmoja au wawili na vibarua. Hawa huwa wanatumia siku 3-4 wakijitahidi siku 2. Hawa jamaa wanakuja kulingana na ukubwa wa nyumba na wanamaliza siku moja tu.
Nyumba yako ina ukubwa gani mkuu
 
Kama kupiga bati tuu canch tayari hapo sawa lakini kama kupiga canch na kuweka bati siku moja hapa unatupiga broo
 
Kama kupiga bati tuu canch tayari hapo sawa lakini kama kupiga canch na kuweka bati siku moja hapa unatupiga broo
Mkuu usibishe kitu kwasababu hujawahi kuona. Hao jamaa ndio utaratibu wao. Wanakuja idadi kulingana na nyumba.
 
Mkuu usibishe kitu kwasababu hujawahi kuona. Hao jamaa ndio utaratibu wao. Wanakuja idadi kulingana na nyumba.
Kwa mtu ambaye hajafanya ujenzi hawezi kuelewa kwa hiyo msamehe. Anashindwa kujua kuwa huo siyo ujenzi wa tofali useme unajenga msingi na kupandisha kozi za tofali na kufunga lenta siku hiyohiyo, maana lazima usubiri tofali na zege likauke kwanza.

Kazi ya paa kukamilika kwa muda mchache au siku moja inahitaji tu idadi ya mafundi weledi wa kutosha pamoja na wasaidizi
 
...
Kwa kweli nilishazoea kuezeka ni kazi ya siku tatu na kuendelea. Nyumba ilitumia mabati 95, mbao 2*2 100pcs na 2*4 150pcs. Mafundi walikuwa 8. Wote mafundi hakuna kibarua.
Hivi hizi mbao za (vipimo katika inch) 2*2 na 2*4 nimeshangaa vipimo vyake duka nyingi huwezi kuta ni hivyo. Ukiulizia 2*2 ukionyeshwa, ukipima utakuta 1.5*1.7. wapi hapa Dar unaweza pata kiwango 2*2 na. 2*4 vipimo halisi na dawa kiwango
 
Sijawahi kupima kwa kweli naangalia kwa macho tu.
 
Mpaka paa linakamilika jumla ulitumia kiasi gani cha fedha kununulia materials na malipo ya mafundi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…