Hiyo nyumba sio ya kuezeka siku tatu, siku mbili maximum
Kawaida huwa anakuja fundi mmoja au wawili na vibarua. Hawa huwa wanatumia siku 3-4 wakijitahidi siku 2. Hawa jamaa wanakuja kulingana na ukubwa wa nyumba na wanamaliza siku moja tu.RR hakuna nyumba ya kuezeka siku tatu, mafundi nane hapo. 😁
Hata hivyo hongera kwa mjengo mkuu.
Kwa idadi ya watu 8 tena hawa n mafundi kabisa sio saidia fundi n sahihi kumaliza kwa siku moja, mafundi hawa hawa wakiwa wanne siku mbili wanamalizaHata mbili ni nyingi sana kwa mafundi nane Mbaga. Watu wawili wanabaki chini, watu sita wapo juu.
Wanagawana mapande, nyumba ya kukata iyo, huyu anashika upande huu, huyu anashika huku. Ni nyundo tuu. 😁
Hujaelewa mkuu. Hawa 8 ni siku moja tu. Kawaida huwa natumiabfundi wawili vibarua wawili ndio wanatumia siku 3 au 4Hata mbili ni nyingi sana kwa mafundi nane Mbaga. Watu wawili wanabaki chini, watu sita wapo juu.
Wanagawana mapande, nyumba ya kukata iyo, huyu anashika upande huu, huyu anashika huku. Ni nyundo tuu. 😁
Kawaida huwa anakuja fundi mmoja au wawili na vibarua. Hawa huwa wanatumia siku 3-4 wakijitahidi siku 2. Hawa jamaa wanakuja kulingana na ukubwa wa nyumba na wanamaliza siku moja tu.
Na ndio nilichosema. Kawaida huwa natumia mafundi wawili na vibarua wawili wanachukua siku 3-4. Hawa jamaa nyumba yoyote wanafanya siku moja ndio utaratibu wao. Wanakuja idadi fulani kulingana na ukubwa wa jengo.Kwa idadi ya watu 8 tena hawa n mafundi kabisa sio saidia fundi n sahihi kumaliza kwa siku moja, mafundi hawa hawa wakiwa wanne siku mbili wanamaliza
Na ndio utaratibu wao. Mjmi niliwazoea wa siku 3-4Hao ni mafundi wazoefu na wanajua maana ya muda, ndio maana wameji organize, bora wafanye kazi moja watu wengi iishe wagawane, kuliko wakae hapo siku tatu! Akili mtu wangu.
Maana yake hizo siku tatu wanafanya kazi ndogo ndogo kama hizo nyingi.
Hapo wenda kesho wataamkia kwingine kupiga kazi.
Hii mbinu safi sana.Hawa jamaa nyumba yoyote wanafanya siku moja ndio utaratibu wao. Wanakuja idadi fulani kulingana na ukubwa wa jengo.
Hongera ila kwangu haijakaa unyamaMaamuzi tu.
Hujaelewa mkuu. Hawa 8 ni siku moja tu. Kawaida huwa natumiabfundi wawili vibarua wawili ndio wanatumia siku 3 au 4