Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,929
- 6,030
Baada ya Hamas kushindwa vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wanafuatwa popote walipo na kuuwawa na wengine waliokuwa wamebaki kwenye mahandaki
Njaa imeanza kuwatoa huko na wanaojisalimisha wanatiwa mbaroni na wanaokaidi wanaangamizwa papa kwa papo.
Sasa hivi hakuna Nywinywinywi wala nyonyonyo kwa Hamas
Webabu mdogoye Adiosamigo gTurn na Mzee wa UHARO Ritz