Gharama ya vita vya Somalia hatujaanza kulipa juzi, kwa miaka hiyo yote 20 tumeumia sana na inaeleweka
- Sie ndio tunao mpaka mrefu zaidi na hawa jamaa. Hawana uwezo wa kuenda kuvamia Burundi maana ni mbali.
- Nchi yetu ndipo walipo wengi, wazawa wapo laki tisa, 900,000 halafu wengi wamekuja kama wakimbizi.
- Hii imefanya rahisi kwa alshabaab kujificha ndani ya nchi baada ya wao kushindwa kupigana kijeshi.
- Na tutakomaa nao hadi hatima yake.
Hilo la kwamba SADC haiwezi pigika unalijua wewe na mahali ulipo nyuma ya computer yako, lakini ikifika mizinga ianze kuruka hewani, basi hapo ndio ngoma itafahamika.
FDLR wamekaa kuwahangaisha Wakongo na kila wakiongeleshwa wanadai Kagame atawanyonga wakirudi, wakubali kuweka silaha chini suluhisho la amani chini ya uongozi wa UN lipatikane.