Wataalam tunaita party time army, or the weekend forcesLeo ndo nimesikia kumbe Kuna Jeshi la Akiba, kwa Wajuzi Hawa Jeshi la Akiba ajira zao nao zikoje..
Wazee kama Mimi 45 Vip wanaitajika huko
Haaaa Ebana na uzee Wang wote huu nilikua sijui kua kumbe wale wanaomwaga Vitu ndo Jeshi la Akiba...Mgambo hapandi cheo wala hastaafu kazi, kustaafu kazi unajistaafisha mwenyewe baada ya kuona ukipiga mtu mtama unaanguka mwenyewe
Kwahiyo ulivyoskia jeshi la akiba we ukajua kuna jeshi lingine limewekwa stooHaaaa Ebana na uzee Wang wote huu nilikua sijui kua kumbe wale wanaomwaga Vitu ndo Jeshi la Akiba...
Nilikua nishajipa Jina Kua kuazia Leo mm Jeshi la Akiba.
😂😂😂😂😂nimecheka kwa sauti kanisaniMgambo hapandi cheo wala hastaafu kazi, kustaafu kazi unajistaafisha mwenyewe baada ya kuona ukipiga mtu mtama unaanguka mwenyewe
Akidhani kama vitalu vya mbogamboga!Kwahiyo ulivyoskia jeshi la akiba we ukajua kuna jeshi lingine limewekwa stoo
fungua PM mzee wa TPA utoe msaada"Mgambo akiwa machuadi anakuwa Gambo"...
dronedrake
Me sio UNICEF mjomba😂fungua PM mzee wa TPA utoe msaada