Jeshi la Akiba/Mgambo

Jeshi la Akiba/Mgambo

Leo ndo nimesikia kumbe Kuna Jeshi la Akiba, kwa Wajuzi Hawa Jeshi la Akiba ajira zao nao zikoje..

Wazee kama Mimi 45 Vip wanaitajika huko
Wataalam tunaita party time army, or the weekend forces
 
Mgambo hapandi cheo wala hastaafu kazi, kustaafu kazi unajistaafisha mwenyewe baada ya kuona ukipiga mtu mtama unaanguka mwenyewe
Haaaa Ebana na uzee Wang wote huu nilikua sijui kua kumbe wale wanaomwaga Vitu ndo Jeshi la Akiba...
Nilikua nishajipa Jina Kua kuazia Leo mm Jeshi la Akiba.
 
Hii nchi ina majeshi mengi, mengine hata hayajulikani ila yapo!
 
........wote wanainama wanaruka kinyama.,...hii anacheka!
 
Mi naomba kuuliza, hivi security guards nao ni jeshi? Mbona huwa na paredi na kukakamaa kama majeshi mengine? Je ikitokea vita hao wajuba hawawezi kwenda vitani? Maana wanajua kutumia bunduki wale
 
Mgambo 🙌 ile kazi nayo ni ngumu watu wanafanya kwasababu ya shida tu
 
Back
Top Bottom