Jeshi dhidi ya Waislamu wa Kenya

Jeshi dhidi ya Waislamu wa Kenya

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,662
before+stairs.jpg

boy+into+truck.jpg

come+out.jpg

down-stairs.jpg

driven+away.jpg

flag.jpg

into-truck.jpg

main-pic.jpg

police-outside.jpg

suspects-kneeling-outside.jpg

suspects-taken-outside.jpg

weapons.jpg
 
Hata hivyo na wao walifanikiwa kumjeruhi mwanajeshi mmoja.
551120_262868150542678_90959257_n.jpg
 
jeshi dhidi ya waislamu wa kenya = army against muslim jihadist in mombasa kenya.thumb up to kenya police.
 
Dini aliyoiacha Muhammad sio hii. Hakika Muhammad angelirudishwa leo na kukuta misikini kuna silaha za kuua raia wasio na hatia na mabomu ya kutia ulemavu wanadamu, hakika angeikataa dini hii. Uzuri sio waislam wote bali ni wale ambao ni waovu ndio wanaoharibu dini hii!!!
 
Kuna kiashiria cha alshaabab hapo mombasa tena kwenye huo msikiti wa Rogo acha wapige tu mbona misikiti mingine wanapiga dua bila shida ROGO alikuwa gaidi yule
 
Dini aliyoiacha Muhammad sio hii. Hakika Muhammad angelirudishwa leo na kukuta misikini kuna silaha za kuua raia wasio na hatia na mabomu ya kutia ulemavu wanadamu, hakika angeikataa dini hii. Uzuri sio waislam wote bali ni wale ambao ni waovu ndio wanaoharibu dini hii!!!
Mkuu kuna silaha humo zaidi ya walizoingia nazo wanajeshi?
 
waislamu wanataka nini? Mombasa republic? Hizi dini tulizoletewa na waarabu, wazungu!
 
Na hawa wakenya nani kawaambia mambo kama haya yanaweza kumalizwa kwa risasi na virungu??!! Hivi hawajifunzi tu? Mataifa makubwa yenye nguvu yameshaona huo utaratibu haulipi wala haufanyi kazi. Watu sio wajinga, hapo labda uwauwe wote kama wanavyofanya wale jamaa wa mafia lakini kama kuna watu wanabaki tegemea matatizo makubwa maana watu hawawezi kukubali tu kukaa wakati wameuliwa ndugu zao.
 
Mungu sio kilema hadi apiganiwe kwa bunduki na mabomu,anaweza akaiteketeza dunia kwa sekunde,wampiganiae wanajisumbua wautumie muda wao kuomba rehema na wamwabudu,mtume anasikitishwa sana na mauaji ya akina mama na watoto wasiyo na hatia.
 
Dini aliyoiacha Muhammad sio hii. Hakika Muhammad angelirudishwa leo na kukuta misikini kuna silaha za kuua raia wasio na hatia na mabomu ya kutia ulemavu wanadamu, hakika angeikataa dini hii. Uzuri sio waislam wote bali ni wale ambao ni waovu ndio wanaoharibu dini hii!!!

Kaka acha akili za chooni dini ya khaki lazima wengi muichukie ila ukweli wao ndo waislam wakweli
 
Mungu sio kilema hadi apiganiwe kwa bunduki na mabomu,anaweza akaiteketeza dunia kwa sekunde,wampiganiae wanajisumbua wautumie muda wao kuomba rehema na wamwabudu,mtume anasikitishwa sana na mauaji ya akina mama na watoto wasiyo na hatia.

Kwani huyo Mungu ni dhaifu mpaka ahitaji watu wampiganie? Hapo ndipo dini naikataa- atheist
 
Hapana Mola apaswae kuabudiwa kwa haki ila Allah na Muhammad ni mjumbe wake

terror-msa-04022014.jpg
Jamia Mosque officials from left Ibrahim Ahmed, Sheikh Farouk Adam and Sheikh Ibrahim Lethome during a press conference at the facility in Nairobi Tuesday. [PHOTO: MBUGUA KIBERA/STANDARD]

<tbody>
</tbody>
By WILLIS OKETCH and NGUMBAO KITHI
Mombasa, Kenya: Police in Mombasa say it may take them two months to sift through the treasure trove of information seized from the controversial Musa Mosque after Sunday’s violent clashes.
Sources told The Standard investigators are sifting through documents and analysing electronic information seized from militants after the deadly clashes with a group reportedly attending a jihadist convention.
And preliminary reports indicate the material has valuable information reports indicate the material has valuable information that could be used to uncover terror suspects.
A top security official warned that more raids on other mosques would follow adding that police have a right to storm any place where they suspect a crime is being committed.
Reports also emerged that the crier of the nearby and equally controversial Sakina Mosque was among those killed in Sunday’s raid.
<ins style="margin: 0px; padding: 0px; border: currentColor; width: 300px; height: 250px; display: inline-table; visibility: visible; position: relative; background-color: transparent;"><ins style="margin: 0px; padding: 0px; border: currentColor; width: 300px; height: 250px; display: block; visibility: visible; position: relative; background-color: transparent;" id="aswift_0_anchor"><iframe style="left: 0px; top: 0px; position: absolute;" id="aswift_0" vspace="0" height="250" marginHeight="0" frameBorder="0" width="300" allowTransparency="true" name="aswift_0" marginWidth="0" scrolling="no" hspace="0"></iframe></ins></ins><!-- Casale Index Platform: 300x250 (Rectangle) -><script type="text/javascript">var CasaleArgs = new Object();CasaleArgs.version = 2;CasaleArgs.adUnits = "4";CasaleArgs.casaleID = 131856;</script><script type="text/javascript" src="http://js.casalemedia.com/casaleJTag.js"></script><!-- DO NOT MODIFY -->
Militant sources warned that radicals would try to hold another convention on Sunday.
Police believe they have struck invaluable information and identities of suspects that will enable them establish a database of militants, their residences, ages, nationalities network and plans.
Reports show that no less than a dozen foreigners, especially from Tanzania and the Comoros are among the detainees at Shimo la Tewa Prison.
Jihadist flags
Besides an AK-47 rifle, machetes and other iron implements, police also captured jihadist flags, stun guns and hundreds of textbooks in a secret cabinet, as well as maps, registers, pictures and information on alleged spies and “Muslim traitors” and terrorist training manuals hidden in toilets, bathrooms and under carpets.
One document, reportedly contains names of militants across East Africa, even as far as Burundi, while one audio tape allegedly calls for Muslims to volunteer to attack countries allegedly oppressing Muslims in Somalia, an apparent reference to nations contributing peacekeeping troops to Somalia.

GO TO PAGE123Next »
 
Back
Top Bottom