JESCA NI MAGUFULI MTUPU

JESCA NI MAGUFULI MTUPU

Daraja2

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
285
Reaction score
346
Ahsante sana mama kwa kuonesha "utu" kumkumbuka "rafiki yako katika kazi"

Kwa uzee wangu, nimeona umetekeleza wosia wa wazee wetu wa kale "Kama ulikuwa unawatembelea wazazi wako wakiwa hai (kijijini) kwa kuwasalimu na kuwapa zawadi basi endelea na utaratibu huo hata watakapo kuwa wameondoka kwa waliokuwa marafiki zao (baba & mama).

Hakika MAMA umefanya jambo la maana sana na linalompendeza mungu.

Kwa kuendeleza undugu zaidi mpe "unaibu waziri" wa wizara aliyoanza nayo baba yake, pia ikikupendeza zaidi muweke kwenye kamati ya kampeni awe anashika "maiki" ukiizunguka nchi.

"YAANI AKIONGEA HUKU AKITABASAMU, UKIMUANGALIA USONI KWA JICHO LA ROHONI UNAONA KABISA ANA UKATILI FULANI HIVI WA MAGU, HAKUNA HAJA YA DNA" napendekeza apewe zile wizara ngumu "zilizoshindikana" aendelee "kupiga spana" kwa watumishi wazembe 😂😁🤣 !!!
 
Huyo mdada ni muongeaji? Kama ana elementi za baba yake basi apewe tu wizara tuone kama anafanana na baba yake
 
Ukatili wa kitu gani?
 
Hivi jesca msabatavangu wa iringa mjini amepita kwenye ule mchujo wa awali?
 
Huyo mdada ni muongeaji? Kama ana elementi za baba yake basi apewe tu wizara tuone kama anafanana na baba yake
Wizara hupewi kwa uongeaji, hili ni tatizo kubwa among watanzania wanaodhani watoto wataperform kama baba zao

Mara ngapi huwa inakwa ndivyo sivyo?
 
Kumbe unaangalia sura, nikwambie tu, sura na akili havihusiani hata kidogo, mnaweza fanana sana ila akili zenu zina uwezo tofauti kabisa, mwingine with highest IQ na mwingine lowest IQ..!!

Acha kuangalia sura, naamini wewe mtoa post uwezo wako mdogo sana..!!
 
Hta mke wa jpm wampe hta ubunge tu wakuteuliwa
 
Ahsante sana mama kwa kuonesha "utu" kumkumbuka "rafiki yako katika kazi"

Kwa uzee wangu, nimeona umetekeleza wosia wa wazee wetu wa kale "Kama ulikuwa unawatembelea wazazi wako wakiwa hai (kijijini) kwa kuwasalimu na kuwapa zawadi basi endelea na utaratibu huo hata watakapo kuwa wameondoka kwa waliokuwa marafiki zao (baba & mama).

Hakika MAMA umefanya jambo la maana sana na linalompendeza mungu.

Kwa kuendeleza undugu zaidi mpe "unaibu waziri" wa wizara aliyoanza nayo baba yake, pia ikikupendeza zaidi muweke kwenye kamati ya kampeni awe anashika "maiki" ukiizunguka nchi.

"YAANI AKIONGEA HUKU AKITABASAMU, UKIMUANGALIA USONI KWA JICHO LA ROHONI UNAONA KABISA ANA UKATILI FULANI HIVI WA MAGU, HAKUNA HAJA YA DNA" napendekeza apewe zile wizara ngumu "zilizoshindikana" aendelee "kupiga spana" kwa watumishi wazembe 😂😁🤣 !!!
Hamna kitu uchawa tu unawasumbua
 
Huyo mdada ni muongeaji? Kama ana elementi za baba yake basi apewe tu wizara tuone kama anafanana na baba yake
Uongeaji, mwonekano, uchangamfu na utiririkaji wote ni Hayati Dr JPM mtupu, jana nilimwonesha Swahiba wangu hiyo video akasema "kweli Mungu ni Fundi kiuumbaji"

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom