GE2025 Jesca Magufuli Mgombea Ubunge Viti Maalum Kundi la Vijana Geita akiomba kura kwa wajumbe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mgombea wa Nafasi ya Viti Vya UBUNGE Viti Maalumu CCM Kupitia Vijana tokea Mkoani Geita, Jesca John Magufuli akijitambulisha Mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa UVCCM Leo Dodoma

Kwanza wajumbe hawataki hata kumuuliza maswali.Vile ubunge ni given kwake daaah
 
Inatokeaje mtu anachukua kadi ya uanachama mwaka huu, anapitishwa kwenye mchakato na kisha kupewa jukumu kubwa la kuwakilisha vijana wa CCM (maana hawawakilishi vijana wengine)?

Kuna vijana ndani ya chama wamekitumikia tangu watoto, wamekitolea jasho kwa uwezo na akili zao, wanakipambania kwenye hali zote na hasa vipindi vya uchaguzi. Lakini hawapewi hizo nafasi?

Angalau miaka ya nyuma kulikua na jina mojamoja linachomoza nje ya yale tuliyoyazoea ili kuwapa nafasi na kundi la wachache kuonja keki ya taifa, ila hali ya sasa inakatisha tamaa.

Nakumbuka miaka ya 2013 hivi nikiwa mwana CCM niliomba nafasi ya uongozi tawi la chuo, nilikatwa kwenye mchujo kwasababu niliochuana nao walikua wamenizidi muda wa kuwa kwenye chama, na nilikubaliana nalo hilo kwasababu hauwezi kwenda kupambania changamoto usizozifahamu.
 
Tuseme hujui job description ya Chawa?

1.Kuwapisha watoto wa wakubwa kwenye nafasi za Uongozi hata kama hawajui chochote

2.Kutumika kama toilet paper na kuwa dumped baadae.

3.Wewe na uzao wako muwe tayari kuwa ngazi ya mafanikio ya watoto wa wakubwa.

Uliomba kazi ya uchawa bila kujua unataka nini? 😂🤣
 
Nadhani kuibuka kwa hilo kundi la chawa kutakua kumechangia hili tatizo kweli, all in all kama waliomo wameridhia na wanashangilia matokeo yakitoka, basi ni vema.

Lakini nikikumbuka zile enzi lazima tupite kwanza Chipukizi ndipo tuhamishiwe UVCCM naona kabisa sasa chama kimekengeuka.
 
Ila waliyomvisha mtoto wa watu hilo lishati aisee , Mungu wa mbinguni anawaona .

Mbona kama oversize hivii au lengo nikuficha haGga?
 
Back
Top Bottom