Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Umeelewa nilichoandika?au unakurupukaKama wewe ni Mkristo mwenzangu ukasome biblia vyema.
Ibrahimu alizaa Ishmael kwa kijakazi wake Hijra, ambaye ni chimbuko la uislam, pia alimzaa Isaka kwa mkewe Sarah ambaye ni chimbuko la Wayahudi na Wakristo.
Ungeuliza kistaarabu,sio kwa matusi.Honestly I don't care much who is god to who. That is their business. Ninachokisema ni kwamba nifahamishwe uhusiano wa waislam na Jerusalem!
Mkuu,Uhusiano uliopo ni kwamba kabla al kaaba(kibra) iliyopo sasa katika msikiti wa mecca ambapo waislam wanaenda kuhiji na ambapo ni eneo takatifu zaidi kaaba(kibra) ya mwanzo ilikuwa katika msikiti wa al aqsa huko Yerusalem.
Umesahau,yupo nabii mmoja, mzungu,mrumi,alikuwa mpinzani wa Yesu alipokuwa hai. Alipoondoka akajitia kumuamini. Lakini akayabadili mafunzo yote ya Yesu. Akawaletea dini mpya. Kinyume na dini aliyoifundisha Yesu. Nabii huyu mzungu,ni nabii wa uongo na mafundisho yake ni ya uongo.Kuna mtume mwongo aliwadanganya waumini wake kuwa alisafiri usiku hadi Jerusalem!! Huyu ndie alieenza chuki ya ya kipuuzi kabisa kwa kutunga uongo!
Mnapenda kumlazimisha mtu suleimani alijenga msikiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna Nabii ambaye hakuwa Mu-Israel, isipokuwa Muhammad, Torati imo ndani ya Biblia, Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi, Zaburi haikuandikwa na Daud peke yake,Hii mnayosema nani alipewa kitabu gani ni stori tu ya kuungaunga ili kujustify kile mnachokijua wenyewe, Mungu ni roho, katika roho aliwapa uwezo watu mbalimbali kuandika vitabu.Quraan kareem haijaacha kitu.Yote yapo ndani yake
Zaburi-Alipewa nabii Dawood
Taurat-Alipewa nabii Musa
Injili (Biblia)-Alipewa nabii Issa (Yesu)
Quraan-Alipewa nabii muhammad s,a,w
Hicho kitabu cha mwisho ndio imeviunga vitabu vyote hivyo vya mwanzo.imetaja kila kitu
I hope utakua umenielewa mkuu[emoji1321]
Umefafanua vizuri
Nijibu.
Huyo nabii Suleiman ailikua Muarab. Eti alijenga kibla. Hekalu la Wayahudi mmejipendekeza kuita kibla ya waislam sasa nataka kuwanyanganya. Walijenga wayahudi
Acha kudanganya nabii Suleiman alijenga hekalu takatifu LA wayahudi na sio msikiti, mji wa Jerusalem ulipigwa na hekalu likavunjwa, hapo palipovunjwa hekalu ndo akaja muhamad akajenga msikiti wake, unajua kwa nini? ili aweze kuclaim kwamba Quran ndo kitabu cha mwisho na final baada ya tourat na injili. kwenye huo msikiti mpaka Leo kuna mabaki ya ukuta w hekalu LA wayahudi...sasa eneo hilo linagombaniwa Muislam anataka apate control ili kuonesha kwamba Uislamu ni dini ya final baada ya uyahudi na ukristo, na myahudi Naye anapataka ili arudishe hekalu lake lililobomolewa, hapo ni dini mbili zinafight ili ziweze kuonesha existance zao za kwenye maandiko yao...sasa hapo solution ni mwenye nguvu anakua juu ya mwenzake...ubabe ubabe...hakuna cha amani hapo
hhhhhhhhhhuhkhgujjh
Zero Brain Mkuu ... Unaanzaje kuuliza Ukiristo ni dini?
hekalu ni nyumba takatifu ya ibada kwa wayahudi ni kama msikiti kwa waislamu ama kanisa kwa wakristuNaomba utufahamishe maana ya hekalu tuanzie hapo kwanza[emoji1321]
Manake wewe ungekua ni Mti,basi mti wa Mpapae ukifa haufai kuni wala mkaa[emoji1321]
hekalu ni nyumba takatifu ya ibada kwa wayahudi ni kama msikiti kwa waislamu ama kanisa kwa wakristu
Solomon's Temple (also known as the First Temple) was, according to the Torah and the Bible, the first Jewish temple in Jerusalem. It functioned as a religious focal point for worship and the sacrifices known as the korbanot in ancient Judaism. The temple was destroyed by the Babylonians in 586 BCE.Kwahio hekalu alilojenga suleiman linaitwaje
Na inasemekana wazungu walimkataa mtume muhammad kisa mwarabu,Hakuna Nabii ambaye hakuwa Mu-Israel, isipokuwa Muhammad, Torati imo ndani ya Biblia, Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi, Zaburi haikuandikwa na Daud peke yake,Hii mnayosema nani alipewa kitabu gani ni stori tu ya kuungaunga ili kujustify kile mnachokijua wenyewe, Mungu ni roho, katika roho aliwapa uwezo watu mbalimbali kuandika vitabu.
Kwa taarifa yako walikuwepo manabii wengi kati ya Israel na nyie hamuwajui au hamuwataji kwa sababu mnazozijua, Nitakutajia hawa,
1.Nabii Yeremiah
2.Nabii Isaya
3. Nabii Eliya
4.Nabii Samwel( na huyu anabeba Historia kubwa sana ya Israel, yeye ndiye alimweka kitini mfalme wa Kwanza na wa Pili wa Israel( 1.Mfalme Saul 2.Mfalme Daud).
5.Nabii Elli
6.Nabii Elisha
Na wengine wengi,Hawa watawala kama Saul, Daud, Suleiman hawakufanya kazi ya unabii kama iliyofanywa na hao niliowataja,Hawa niliowataja walibeba ofisi kabisa ya unabii(kazi).
Kwa taarifa yako YAQUB Ndio Israel, ISAKA ni Baba ya Israel ndi maana amezikwa Israel.Labda niongezee ni kwanini WAISLAM WANAFUNGAMANA juu ya JERUSALEM itambulike kuwa ni ya PALESTINE ni sio ISRAEL na manufaa yetu juu ya JERUSALEM.....
1)kwanza kwenye dalili 9 za NABII MUSSA za kipindi cha MWISHO aliiweka na JERUSALEM itakuja kutambulika kuwa mji wa ISRAEL kitu ambacho hata PHARAOH Kilimuogopesha.
2)QURAN imeanzishwa 1400 years ago na kupitia MTUME wetu MUHAMMAD P.B.U.H. proclaimed juu ya dalili za mwisho.
3)JERUSALEM unatambulika na MUSLIMS kwa mambo mengi......ikiwemo MITUME 3 walizikwa pale a) IBRAHIM b)IS-HAKA c) na YAQUB....
4)pia WAISLAM tunatukuza mji ule kwa kua MTUME Alisimamisha ibada pale na KUOMBEA MITUME wengine wote na kuimiza WAISLAM kufika pale na kufanya ibada kwani itakuwa na fadhila mara 500 (MASJID AL AQSA)