Unashangaa Ibrahim wa mbali hivyo ,yesu Mwenyewe ni muislam ukiristo ni upagani hakuna dini km hyoMuhammad kazaliwa mwaka 570 baada ya Yesu, na utume kapata kutoka kwa mganga wa kienyeji mapangoni alipopelekwa kutibiwa homa na mkewe, ni Khadija(mganga akiitwa WaragaWaraqa- I stand to be corrected on this name). Na uislam umesimikwa rasmi mwaka 610, tena kwa vita baada ya kuwaua wachungaji na mapadri wengi ili kuutokomeza Ukristo.
Inashangaza sana Waislamu kusema Ibrahim alikuwa Islam.
Umefafanua vizuriMkuu kuna mitume waliotumwa kueneza dini ya kiislamu ni WAYAHUDI vilevile muhimu utambue na hilo
Kwa mfano Nabii Suleiman alikuwa myahudi lkn ndie aliewaamrisha viumbe waliokua chini yake kuujenga huo msikiti na nabii suleiman alikuja kabla ya nabii Issa(Yesu)
Na chanzo cha QIBLA ni hapo.kila muislam anaposali lazima aelekee kibla na chanzo chake ndio hapo hicho kibla
Hii ni dunia nzima wanalifahamu hilo
Quraan kareem haijaacha kitu.Yote yapo ndani yake
Zaburi-Alipewa nabii Dawood
Taurat-Alipewa nabii Musa
Injili (Biblia)-Alipewa nabii Issa (Yesu)
Quraan-Alipewa nabii muhammad s,a,w
Hicho kitabu cha mwisho ndio imeviunga vitabu vyote hivyo vya mwanzo.imetaja kila kitu
I hope utakua umenielewa mkuu[emoji1321]
Busara ni kila mtu atafte kwao na aende. Suala la urithi watoto wa michepuko haliwahusuHivi na wakristo wakiamua kumuunga mkono trumph na Israel katika hii issue mambo yatakuaje..mi nadhani busara zaidi ingetumika kuliko matumizi ya nguvu kama ilivyo ssa
Mkuu inaonekana umeishi israel!Wayahudi au uyahudi wanawawekak wakiristo na waislam kundi moja tu, hawajawahi kumkubali Yesu kama mtume wao kamwe, na wakiristo wa Israel na mashariki ya kati wanaua hili , ndio maana juzi waliandamana na kutoa tamko kwamba Jerusalem ibaki kama City of peace kwa dini zote, tatizo humu watu sio wafuatiliaji wa mambo ..... wakristo wa Israel wanapata shida sawa na wenzao wailam juu ya mayahudi , mimi nilikutana na mkiristo mkimbizi wa kipalestine kule Iraq na ni mkimbizi kwa sababu ya hao hao, ila huku kwetu tunafikiri uyahudi ni ukiristo .... uyahudi ni dini tofauti kabisa na wale conservative wanamchukulia Yesu kama nabii wa uongo, ni uislam tu ndio wanamuamini Yesu katika dini zote zisizo za kikiristo
Nijibu.Mkuu kuna mitume waliotumwa kueneza dini ya kiislamu ni WAYAHUDI vilevile muhimu utambue na hilo
Kwa mfano Nabii Suleiman alikuwa myahudi lkn ndie aliewaamrisha viumbe waliokua chini yake kuujenga huo msikiti na nabii suleiman alikuja kabla ya nabii Issa(Yesu)
Na chanzo cha QIBLA ni hapo.kila muislam anaposali lazima aelekee kibla na chanzo chake ndio hapo hicho kibla
Hii ni dunia nzima wanalifahamu hilo
Quraan kareem haijaacha kitu.Yote yapo ndani yake
Zaburi-Alipewa nabii Dawood
Taurat-Alipewa nabii Musa
Injili (Biblia)-Alipewa nabii Issa (Yesu)
Quraan-Alipewa nabii muhammad s,a,w
Hicho kitabu cha mwisho ndio imeviunga vitabu vyote hivyo vya mwanzo.imetaja kila kitu
I hope utakua umenielewa mkuu[emoji1321]
Ha ha ha...Ukiwapa Israeli nzima wataanza kuchinjana shia na suni halafu watamsingizia muamericaWayahudi na Wakristo wala hawapingani juu ya umuhimu wa Jerusalem kwao. Wakristo wanaelewa kwamba Jerusalem ni ya Isreal. Wakienda kule wanakwenda kwa mantiki ya imani yao wala hawajawahi na hawawezi kung'ang'ania kuwafukuza Wayahudi kule eti sasa ni kwao kwa kuwa kuna chimbuko la imani yao!. Ridiculous!
Hawa waislam, kuna misingi gani ya Imani yao ya uislam katika Jerusalem?
Ndiko alikozaliwa mungu wao mohamed?
Kuna kaburi la mohamed?
Kuna nini cha imani yao katika Jerusalem?
Hawa watu ni wakorofi siku zote:-, hata ukiwapa Israel nzima haiwezi kuwapa amani kwa sababu amani yao huwa ni machafuko.
Waislam muoni haya.Oneni aibu kuwa watu wa kuanzisha machafuko na kusababisha umwagaji damu kila mnakokuwa na hata kwa majirani mnaopakana nao. Shame!
Rudia soma taarifa BBCHonestly I don't care much who is god to who. That is their business. Ninachokisema ni kwamba nifahamishwe uhusiano wa waislam na Jerusalem!
Acha kudanganya nabii Suleiman alijenga hekalu takatifu LA wayahudi na sio msikiti, mji wa Jerusalem ulipigwa na hekalu likavunjwa, hapo palipovunjwa hekalu ndo akaja muhamad akajenga msikiti wake, unajua kwa nini? ili aweze kuclaim kwamba Quran ndo kitabu cha mwisho na final baada ya tourat na injili. kwenye huo msikiti mpaka Leo kuna mabaki ya ukuta w hekalu LA wayahudi...sasa eneo hilo linagombaniwa Muislam anataka apate control ili kuonesha kwamba Uislamu ni dini ya final baada ya uyahudi na ukristo, na myahudi Naye anapataka ili arudishe hekalu lake lililobomolewa, hapo ni dini mbili zinafight ili ziweze kuonesha existance zao za kwenye maandiko yao...sasa hapo solution ni mwenye nguvu anakua juu ya mwenzake...ubabe ubabe...hakuna cha amani hapoMkuu kuna mitume waliotumwa kueneza dini ya kiislamu ni WAYAHUDI vilevile muhimu utambue na hilo
Kwa mfano Nabii Suleiman alikuwa myahudi lkn ndie aliewaamrisha viumbe waliokua chini yake kuujenga huo msikiti na nabii suleiman alikuja kabla ya nabii Issa(Yesu)
Na chanzo cha QIBLA ni hapo.kila muislam anaposali lazima aelekee kibla na chanzo chake ndio hapo hicho kibla
Hii ni dunia nzima wanalifahamu hilo
Quraan kareem haijaacha kitu.Yote yapo ndani yake
Zaburi-Alipewa nabii Dawood
Taurat-Alipewa nabii Musa
Injili (Biblia)-Alipewa nabii Issa (Yesu)
Quraan-Alipewa nabii muhammad s,a,w
Hicho kitabu cha mwisho ndio imeviunga vitabu vyote hivyo vya mwanzo.imetaja kila kitu
I hope utakua umenielewa mkuu[emoji1321]
Zero Brain Mkuu ... Unaanzaje kuuliza Ukiristo ni dini?,HAYA TUFAHAMISHE SASA HUO MSIKITI ULIJENGWA JUZI NA KINA NANI??
Wewe unasema uislamu umekuja juzi tu
Haya naomba ANDIKO KATIKA KITABU CHAKO UNACHOKIAMINI LINAYOSEMA KUA KRISTO NI DINI
NIPE ANDIKO
Nikizama saana kidini saana saana huu uzi utafungiwa tu,
Huo msikiti wa Al-Aqsaa unaufahamu vizuri historia yake???hebu nenda kwanza ukaoge half ukaanze kuchota maji kisimani
Utaniharibia siku bure tu kuanza kulumbana na matoto
Je umeisoma hiyo taarifa ambayo BBC wameelezea kwa ufupi kuhusu Jerusalem na historia ya hizi dini,uyahudi, ukristo na uislam? Kama utakuwa umesoma na fikra zako ukaziweka huru utakuwa umepata hata kamwanga kidogo au kama unaona uvivu kusoma na ukabaki na misimamo au mawazo uliyofundishwa au kusikia tu bila hata kuhoji chochote ,sidhani kama utawezwa kuelezewa huo uhusiano unaouhitaji wewe.Honestly I don't care much who is god to who. That is their business. Ninachokisema ni kwamba nifahamishwe uhusiano wa waislam na Jerusalem!
ha hahaa...mzozo wa Israel na paleastina ni wa kidini kama hujui. jiulize kwa nini linapotokea tamko lolote juu ya mahali hpo wanaoreact ni waislamu duniani kote sio waarabu tu? mfano tamko LA juzi LA trump wamendamana mpaka waislam wa Indonesia ambao sio waarabu. chanzo ni dome of the rockHivi wewe ukisikia wapalestina wanapigana na waisrael,unafikiri wapalestina wote ni wwislamu.Wamo wapalestina wakristo pia.Ndio ukaona huu mzozo sio wa kidini,huu mzozo ni wapalestina(wakristo na waislamu),kugombania ardhi yao, iliyochukuliwa na waisrael.
Wengi wa wakristo wa Tanzania,haelewi kama huu sio mzozo wa kidini,baina ya waislamu na waisrael.
hiyo SUHUFI wewe mwenyewe hujui hata ni kitu gani ndo maana umeiita "KITU" tuambie suhufi ni kitabu kipya?1 ibrahim alipewa kinaitwa SUHUFI.
2
It is written in the Scriptures of Ibrahim (peace be upon him):
“O world (dunya), how insignificant you are to the righteous to whom you adorn yourself. I created in their hearts hatred towards you and dislike for you. There is nothing in creation that is more insignificant to Me than you. Everything about you is insignificant; you are bound to perish; I decreed the day I created creation that you would not last for anyone, and no one would last for you, and even if the one who loves you tried to hold on to you, glad tidings to the righteous who showed Me what they have of contentment in their hearts and they showed Me what they have of sincerity and righteousness. Glad tidings to them: I have no reward for them when they come to me out of their graves except light running ahead of them, and the angels surrounding them, until I grant them what they hope for of My mercy. Al-Zuhd, by Ibn Abi’l-Dunya.
3 ummati ibrahim
4 Ibrahim..........,......................... yesu,,paulo,,,,, ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,muhammad
usichanganye madesa Quraan ime refute mafundisho machafu ya paulo,kwa ibrahim ni mbali paulo hakuwepo,paulo alicheza rafu ya kumvisha ukafiri Ibrahim,Quraan ikamsafisha
Umeisoma mada yote na kuielewa???Honestly I don't care much who is god to who. That is their business. Ninachokisema ni kwamba nifahamishwe uhusiano wa waislam na Jerusalem!
Kama wewe ni Mkristo mwenzangu ukasome biblia vyema.Hivi Suleman alijenga huo msikiti?
Maana tunajua alijenga hekalu
Huo msikiti umejengwa karne za juzi tu
Why waislamu mnalazimisha yerusalemu uwe mji wenu?
Neno israeli lina maana yake kibiblia , ,nyie kwenye koran hamjui hata maana ya Israeli
Mnadanganya watu eti ibrahimu alikuwa muslim
Wakat uislamu umekuja juzi juzi na muhamad ,before hakuna hata chembe ya history kuwa kuliwahi kuwepo na kitu kinaitwa islamu ,