BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
Haki ipi mkuu? Haki ya kupora Jerusalem yote iwe yao na kuifuta Israel Duniani? Ndo haki ya wapalestina hiyo unayosema wataipata? Ni bora Iran atoe ardhi awape wapalestina, otherwise wataisha kweli.
Sawa