Jerusalem is ours whether you want or not!

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,333
We have finally moved to Jerusalem from Tel Aviv wherein the Israel government has headquartered, our main goal to move to Jerusalem is to write off Palestinian dreams that part of Jerusalem or the entire city is theirs.
Tehran had sworn to wipe us out from the world's map if we should have just continued to perturb their brethren,now it's eventually done.
The Palestinian counterparts and allies should forget about the so called "Jerusalem ",we are here in the city of our ancestors running our business as usual as we always have been,whoever thinks that we're wrong and we deserve aggression, the doors are open to everyone to get to know who the Jews are, we will teach them unforgettable lesson.
 
Punguza ushabiki mkuu

Lengo la kuhamishia ubalozi wa marekani jerusalem na lengo kuu la israel kuufanya mji mkuu wake unajua?? au unafikiri unachofikiria wewe ni sawa kwa sababu umefanywa ufikiri hivyo huo ni utumwa wa akili

Katika yale maeneo tramp alishamuahidi netanyahu kwamba yeye ndiye atakae jenga temple ya mpinga kristo au dajjal inaitwa third temple pale jerusalem

Ile temple ya suleiman nayo wametengeneza copy yake ambayo ndiyo inahisiwa ndiyo hiyo third temple makao yake makuu mpinga kristo na itaaminishwa kwamba ile ndiyo original alafu ile original wako na mpango wa kuizamisha chini

Alafu hawa wa israel fake mesiha wanayemsubir sio yesu bali ni mpinga kristo
 
sawa nabii.
 
Mimi nadhani hawa wapalestina wanakosea hii movi,
walitakiwa watulie kama maji mtungini,

maandiko yanasema huo mji utatekwa kwa vita kuu,na mwishoe masihi atakuja,
ndo maana israel inayo jerusalem tangu mwaka 1967,ila sasa hakuna vita kuu,sasa wanajifanya eti baada ya marekani kuitambua sasa ndo imekuwa yao,
hii kuwapiga risasi waandamanaji ili tu katokee kavita waseme unabii umetimie,
ishu ipo itapopita miaka 100 hakuna cha masiha wala nini,halafu watu wagundue ilikuwa changa la macho
 
Makao makuu ya mashoga, mungu mpenda vita mpiga mieleka, hawa watu wana bebwa mno na bwana wao marekani anawatumia kuwathibiti waarabu. Israel ni pupet tu bila marekani hana chochote,
 
Maandiko yanasema; maandiko yapi hayo? Yale mnayoyatukana kila siku? Ninyi watu ni manafiki wa kiwango cha kuzimu. GOD BLESS YOUR PEOPLE, GOD BLESS ISRAEL. AMEN.
 
Makao makuu ya mashoga, mungu mpenda vita mpiga mieleka, hawa watu wana bebwa mno na bwana wao marekani anawatumia kuwathibiti waarabu. Israel ni pupet tu bila marekani hana chochote,
Piga mayowe kabisa; nothing will change. Mungu wa Mbinguni ibariki Israel taifa lako ulilolichagua mwenyewe. Bwana; tunaibariki Israel sawa sawa na Neno lako ewe Muumba wetu. Amen.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Makao makuu ya mashoga, mungu mpenda vita mpiga mieleka, hawa watu wana bebwa mno na bwana wao marekani anawatumia kuwathibiti waarabu. Israel ni pupet tu bila marekani hana chochote,
mkuu kama hujui ni bora kukaa kimya tu,Israel ni habari nyingine kabisa.
 
Punguza ushabiki mkuu

Lengo la kuhamishia ubalozi wa marekani jerusalem na lengo kuu la israel kuufanya mji mkuu wake unajua?? au unafikiri unachofikiria wewe ni sawa kwa sababu umefanywa ufikiri hivyo huo ni utumwa wa akili

Katika yale maeneo tramp alishamuahidi netanyahu kwamba yeye ndiye atakae jenga temple ya mpinga kristo au dajjal inaitwa third temple pale jerusalem

Ile temple ya suleiman nayo wametengeneza copy yake ambayo ndiyo inahisiwa ndiyo hiyo third temple makao yake makuu mpinga kristo na itaaminishwa kwamba ile ndiyo original alafu ile original wako na mpango wa kuizamisha chini

Alafu hawa wa israel fake mesiha wanayemsubir sio yesu bali ni mpinga kristo
Umenena kaka hao watoa mada wengne wapo kwa ushabiki tu, daah utashabikia vip yanayoendelea pale kwa bwana Netanyau kwa kuufanya Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, hamujui kuwa kuna agenda za siri ambazo wao vichwan mwao wanazjua wenyew bas utakuwa hauna tofaut nao maana na wew utakuwa ni mmoja kat ya watu wanaosaidia kuusimika utawala wa shetani.

Daaah hiv waswahili nin kimewakuta baada ya kulaani unashabikia kwa hyo Trump na Netanyau kama wanatumbukia shimoni na wew unawafuata huko huko eti kwa kuwa ni Mkristo kumbe laaah watu wana ajenda zao za siri nawe unawashabikia hujui kuwa unawapa sapoti kwa mikakat yao.

Pole sana [HASHTAG]#Mtoa[/HASHTAG] post
 
We have finally moved to Jerusalem from Tel Aviv wherein the Israel government has headquartered, our main goal to move to Jerusalem is to write off Palestinian dreams that part of Jerusalem or the entire city is theirs.
Tehran had sworn to wipe us out from the world's map if we should have just continued to perturb their brethren,now it's eventually done.
The Palestinian counterparts and allies should forget about the so called "Jerusalem ",we are here in the city of our ancestors running our business as usual as we always have been,whoever thinks that we're wrong and we deserve aggression, the doors are open to everyone to get to know who the Jews are, we will teach them unforgettable lesson.
Wayahudi weusi mna vituko
 
Piga mayowe kabisa; nothing will change. Mungu wa Mbinguni ibariki Israel taifa lako ulilolichagua mwenyewe. Bwana; tunaibariki Israel sawa sawa na Neno lako ewe Muumba wetu. Amen.
Najua wafia dini mnaiombea Israel kuliko tz mkoloni katuweza, unaweza kumuombea mtu ukamwambia vua nguo nikuoshe viungo vya uzazi Na akakubali. Wakati muisrael hana upumbavu huo, sasa mna amini kapewa leseni Na yehova kuua yeyote
 
habari nyingine kwa wafiadini nchi inayotegemea msaada wa bwana wake iwe habari nyingine
Wanategemeana mkuu, usidhani Marekani hutoa msaada kwa Israel bila kufaidika lolote, CIA wanaitegemea Sana MOSSAD kiintelijensia, Marekani inatoa misaada mingi ya kifedha na kijeshi kuliko nchi yoyote Duniani, wanafanya hivyo ili wapate mengi kutoka kwa Israel, pamoja na yote, Israel iko fit hata Kama US hawataisaidia, inatengeneza silaha yenyewe za kivita zenye high quality mno, India na mataifa mengine wanaitegemea Israel kivita, na India hununua silaha Israel, Israel iko fit bila msaada wa US, rejea six days war, Israel haikusaidiwa na US kipindi hicho, rejea 90 minutes at Entebe, Israel haikusaidiwa kuwakomboa mateka wake.
Kubalini ukweli kuwa Israel iko vizuri mtabakia mmekalili US.
 
Wakristo wanakosea sana bila kujua ama kujisahaulisha, Wayahudi sio wakristo na wala hawamtambui Yesu na zaidi ni maadaui wa dini zote isupokua Wayahudi wenzao na Anti-Christs wengine.

Huo utaifa teule wa Izraeli ambao wakristo wameendelea kudanganywa na kuaminishwa una wagharimu sana.

Wazayuni ni Anti-Christs na hiyo move ya Jerusalem azma yake iko very hidden from the truth that we have been told.

Washajenga tample yao mpya (al Aqsa) na ile original wanampango wa kuisambaratisha.

Wakati wakristo mnamsubiri Masiah arudi wenzenu wanamsubiri Anti_Christ/Dajjal/Lucifer aje asimamishe utawala wa kishetani rasmi.
 
Hawajui na hawataki kujua,na sidhani lini watajua....!!!!
 
Hayo maandiko yako kwenye Quran nn?
 
Wapalestina Mungu yupo nanyi....ipo siku haki yenu itapatikana,,, hivyo msikate tamaa!
 
Back
Top Bottom