JERRY5

Profesaa

Member
Dec 18, 2015
6
4
Habarini nyote vijana wenzangu na pia wakubwa shikamoni
nipo na idea au mawazo ya kuanzisha kipindi cha television
idea ya kipindi ninacho pamoja na muongozo mzima wa kipindi na namna ya uendeshaji
Tatizo sijui garama ya kuendeshea kipindi hicho kwa tv
hivi nilikua naomba mmakadirio yenu Mfano kipindi cha #SKONGA cha EATV au #SPORA SHOW cha STAR TV kinaweza kugarimu TShs ngapi za Kitanzani kwa kukiendesha
 
Nakushauri u pitch idea yako kwa tv producers n executives
 
Back
Top Bottom