Jerry Silaa ni mtoto wa Dkt. Slaa?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Kuna huyu waziri namsikia sana sasa hivi, Jerry Silaa. Je, huyu ni mtoto wa Dkt Slaa? Yule aliyekuwa Chadema?
Maana wanasema mtoto wa simba ni simba. Naomba kuwasiliana

Screenshot_20231224-101415.png
Screenshot_20231224-101633.png
 
Dr Slaa na urubani wa ndege wapi na wapi!
Huyu Jerry anadai baba yake alikuwa rubani wa ndege.

Dr Slaa wa Chadema yeye hakuwai kuwa rubani wa aina yoyote.

So you can see the different between Jerry's father and Dr Slaa.
Police have confirmed that the accident has occurred and that there were four people on board the helicopter but only two have thus far been identified, one of them being the pilot, Captain William Silaa. Capt Silaa is also the father of the outgoing Mayor of Ilala Municipality, Mr Jerry Silaa.
Huo ndio ukweli wa maelezo ya Waziri Silaa.
 
Kuna huyu waziri namsikia sana sasa hivi, Jerry Slaa, je huyu ni mtoto wa Dkt Slaa? Yule aliyekuwa Chadema?
Maana wanasema mtoto wa simba ni simba.... naomba kuwasiliana

"Jerry Slaa ni mtoto wa Dkt Slaa?" Mods nyie huwa makini sana kubadilisha vichwa kwenye baadhi ya members mnaowachukia, hivi hata jina la waziri wenu hamlijui!​

 
Back
Top Bottom